Ebu tujiulize ccm iliyo kuwa ikimtuhumu Dr slaaa kuwa anapotosha umma pale alipo zungumza swala la Richmond na maswala mengine ya ufisadi ikiwemo meremeta, escrow, n.k na kudai kuwa ana ushaidi. Aliye kuwa katibu mkuu wa serekali Philemon luhanjo alisema kuwa Dr slaa ni mpotoshaji na ushihidi alio nao niwakugushi. Sasa leo Dr slaa kaja kwenye media akirudia Yale Yale aliyo wahi kuzungumza na ushahidi ulele ambo sasa umegeuka kuwa wa kweli gafla. Sasa mi napata mkangajiko hapa.
Maana YAKE ni nn??
Wote mtakumbuka kuwa hela za escrow serekali ilidai kuwa sio za umma. Alakini endopo watuhumiwa watahama na kujs upinzani sitoshangaa ccm wakasema hela za escrow zilizo tilewa BOT zilikuwa za umma
Ebu tujiulize ccm iliyo kuwa ikimtuhumu Dr Slaa kuwa anapotosha umma pale alipo zungumza swala la Richmond na maswala mengine ya ufisadi ikiwemo meremeta, escrow, n.k na kudai kuwa ana ushahidi.
Aliye kuwa katibu mkuu wa serekali Philemon luhanjo alisema kuwa Dr slaa ni mpotoshaji na ushihidi alio nao niwakugushi. Sasa leo Dr slaa kaja kwenye media akirudia Yale Yale aliyo wahi kuzungumza na ushahidi ulele ambo sasa umegeuka kuwa wa kweli gafla.
Sasa mi napata mkangajiko hapa maana YAKE ni nn??
Wote mtakumbuka kuwa hela za escrow serekali ilidai kuwa sio za umma. Alakini endopo watuhumiwa watahama na kujs upinzani sitoshangaa ccm wakasema hela za escrow zilizo tilewa BOT zilikuwa za umma
Lolote lile analolipanda m2 kwenye ulimwengu wa nyama lzm atalivuna ktk ulimwengu wa nyama,dr ajiandae kwa hilo!
View attachment 283781
Josephine kasha malizana an CCM pesa ziko kwenye account tayari, wamemuhaidia Slaa pia ubunge wa kuteuliwa and uwaziri na East Africa.
Lowassa siyo fisadi
kikwete alituambia wakati wa kampeni za 2010 pale monduli kuwa lowassa amepata ajali za kisiasa wala siyo kwamba ni fisadi.akasisitiza kuwa lowassa ni mchapakazi na mwadilifu
leo inakuwaje wakazane kuwa lowassa ni fisadi?