seif gadafi
Member
- Apr 5, 2014
- 28
- 12
ni miaka zaidi ya 50 sasa toka nchi yetu ipate uhuru ila maswali mengi tukijiuliza je ni kweli maendeleo tuliyonayo yanaendana na kipindi chetu cha tulichopata uhuru na utajiri wa asilimali tulizonazo katika taifa letu.
je nikweli kuwa hakuna maendeleo yaliyofanyika chini ya chama cha mapinduzi jibu ni hapana kwani watanzania tumeona namna jinsi chama hiki kilivyofanya kile watanzania tunachokihitaji kwa taifa letu.kwani kila awamu inavipao mbele vyake kama.
Ezi ya mwalimu kipaombele kilikuwa uhuru na umoja kwa watanzania
Ezi ya mwinyi kipaombele kilikuwa ni uboreshaji wa uchumi wa taifa kupitia sera ya ruksa
Ezi ya mkapa kipaombele kilikuwa ni ubinafishaji na ukweli na uwazi katka utumishi wa umma
Ezi ya kikwete kipao mbele ni elimu,miundombinu,na demokrasia ya kweli bila kusahau usawa wa kijinsia katka uongozi.
je sasa nachelea kusema kuwa ni kweli tanzani hakuna maendeleo yoyote jibu ni sio kweli watanzania maendeleo yapo yapo maendeleo hayo yanakabiliwa na changamoto nyingi
watanzania wenzangu nawaomba sana tusikate tamaa na serikali yetu na tuwe sehemu ya mabadiliko chanya kwa jamii yetu.pi vijana niwakati wa kuacha kutumika na wanasiasa bali tuwe sehemu ya mabadiliko kwa jamii yetu kwa ujumla.
watanzania ndio tutakao jenga nchi yetu na hakuna mwingine wakulijenga hili taifa letu hivyo ni jukumu letu vijana pamoja na wazee na makundi yote yaliyopo ndani ya jamii katka kulipigania hili .
NAMALIZIA KWAKUSEMA TANZANIA KWANZA DAIMA VYAMA NA ITIKADI ZETU BAADAYE SANA