Labda ni baada ya kuwazuia kufanya mkesha kwenye ule uwanja pale usa
Wanaweweseka tu hao, hawana jipya
Uhuni tuu huo OCD ni mwajiliwa wa CCM!
Sasa lawama wanamtupia nani Mwema?
Yaani siku ya CCM kupokwa madaraka kitaifa kuna haja ya kuwafungulia kesi kwa jinsi wanavyofnya watu wakiuke maadili yao ya kazi!
Siku moja kabla ya uzinduzi wa kampini zao walitaka kufanya mkesha kwenye uwanja ambao walipanga kufanyia uzinduzi lakini OCD aliwakatalia baada ya viongozi wa chadema kwenda kumlalamikia...Mkesha gani walitaka kufanya hapo tena?
Hizi wangekuwa siyo waajiliwa wa CCM ndenge ya jeshi la nchi nyingine wanguja hapa nchini na kubeba wanya wetu, hivi wangekuwa siyo waajiliwa wa CCM wangekuwa hawamjui mmiliki wa RICHMOND...naona povu linakutoka...Polisi,mahakama,jeshi, usalama wa taifa, TAKUKURU wote ni waajiliwa wa CCM na siku hawa watu wakigundua kuwa hatupaswi kuajiliwa na CCM basi hii nchi itapata maendeleoMkuu OCD ni mwajiriwa serikali na si CCM na hasa vyombo vya ulinzi na usalama havina chama, hivyo madai ya haya hayana msingi zaidi ya kupenda mteremko na mbeleko katika siasa.
Mkuu OCD ni mwajiriwa serikali na si CCM na hasa vyombo vya ulinzi na usalama havina chama, hivyo madai ya haya hayana msingi zaidi ya kupenda mteremko na mbeleko katika siasa.
usipingane na ukweli fuatilia uchaguzi Mwanza .Jamaa alipata taabu sana ila baada wakampandisha cheo, huon wanavyotumia mali za serikali kwa shughuli za chama.Au jinsi wakuu wa vituo vya polisi wanavyohongwa ili waipendelee ccm!mfano polisi Bugurun gari yayotembelea tshs 200 m wa chin yake wanalala kwenye suti za mabat na joto hili inakuwaje?acha papara chambua hoja kwa kufanya tafit funguka kijana.
Siku moja kabla ya uzinduzi wa kampini zao walitaka kufanya mkesha kwenye uwanja ambao walipanga kufanyia uzinduzi lakini OCD aliwakatalia baada ya viongozi wa chadema kwenda kumlalamikia...