VUA GAMBA VA GWANDA
Member
- Jul 25, 2013
- 12
- 0
Chama hiki kimeshika dora miaka mingi iliyopita, lakini kwa sasahivi kinaonekana kutopendwa na wananchi wengi kutokana na kukosekana kwa utawala bora unajenga haki na masilahi sawa kwa wote.Mi nishauri tu kwamba ccm na serikali yake ikae chini ijitadakari upya nin cha kufanya ilikurudisha hadhi ya chama vinginevyo kitapata pigo kubwa mwaka2015.