ccm na dhana ya kujivua magamba

fimbombaya

Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
47
Reaction score
12
ninapata wasiwasi na kuwa na maswali mengi yasiyo na majibu hasa ninapojiuliza juu ya dhana ya ccm kujivua magamba. wasiwasi wangu ni jinsi gani hawa ccm waliweza kuishi na viumbe wenye magamba siku zote hizo bila kuwabaini? kuna msemo wa kingereza ambao tafsir yake ni hii. ndege wenye mbawa za kufanana huruka pamoja. ninahakika kuwa hao waliotajwa kuwa ni magamba ndani ya chama ni kafara lakini chama chenyewe ni gamba tosha kwani tumeshuhudia mambo ya msingi yanavyopelekwa na kuamuliwa kwa maslah ya wachache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…