CCM na Chadema wahamia CUF - KIGOMA

nothing like that
hata kudanganya hujui ungesema wamehamia NCCR labda wasio wasiodadisi wangekuamini
 
good move hilo lichama cha kazkazini libakie hukohuko
 
mkigoma,

..muungano unakufa na CUF nao watarudi kuwa Hizbu kule Zanzibar.

..CUF wanajulikana kabisa kwamba wako huku Tanganyika kutimiza masharti ya usajili wa vyama vya siasa.

Huijui historia ya CUF wewe! Kama hujafanya utafiti basi huna haki ya kuongea! You do not deserve to be a great thinker! Unataka kusema CUF ilianzia Znz??
 
Mwaka mzima post hizo tu, tangu wakati huo hakuna mtu aliyekupa Like hata moja! Ni dhahili huwa una post pumba!

Likes Received 41
like given 0
hata kidhungu hujui bado unataka kuonekana unajua! Kamusi zipo hata za buku nyambafu we!!
 

Mkuu, jana ulikuwa Kigoma, ukashuhudia mkutano wa CUF pale.

nami nipo hapa uwanja wa Tip kweli watu ni wachache mno labda tusubiri mpaka saa 11.

Na leo uko Sinza unashuhudia mkutano wa Chadema hapo!

Pole na kazi za ujenzi wa CUF!
 
Pole kwa hangover za weekend,naona umenza weekend mapema mno mkuu.
 
Huijui historia ya CUF wewe! Kama hujafanya utafiti basi huna haki ya kuongea! You do not deserve to be a great thinker! Unataka kusema CUF ilianzia Znz??

Mizizi,

..CUF wanawashirikisha wa-Tanganyika kwa minajili ileile ya kutimiza masharti ya usajili wa vyama vya siasa.

..harakati za CUF siku zote zimelengwa kuwakomboa wa-Zanzibar lakini siyo wa-Tanganyika.

..wangekuwa wanatujali basi wangetafuta wanachama huku Tanganyika, na kusimamisha wagombea nafasi za ubunge, na sasa hivi wangekuwa ni chama kikuu cha upinzani ktk bunge la muungano.

..RUZUKU yote ambayo wamekuwa wakiipata tangu waingie bungeni imekuwa ikitumika kuimarisha CUF visiwani, huku bara hatuoni kitu.
 
hv bdo kuna chama kinaitwa CUF? Nilidhan kimeshakufa.
 
Upepo wa CDM ukija utabeba kila m2 kuanzia waliohama had waliobaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…