naona manyunyu ya watu mbele ya mheshimiwa sana,tena watoto wasiojua haki zaoWananchi wa mkoa wa mwanza wameanza kuionyesha ccm kwa vitendo kuwa wameichoka na hiyo inathibitishwa na ususiaji wa mikutano ya wabunge wa chama hicho mkoani humo.
Hapo ni jana wakati mbunge wa Nyamagana akihutubia mkutano wa hadhara.
Mwenye macho na atazame.....
View attachment 1122332
Tumia kigezo kingneWananchi wa mkoa wa mwanza wameanza kuionyesha ccm kwa vitendo kuwa wameichoka na hiyo inathibitishwa na ususiaji wa mikutano ya wabunge wa chama hicho mkoani humo.
Hapo ni jana wakati mbunge wa Nyamagana akihutubia mkutano wa hadhara.
Mwenye macho na atazame.....
View attachment 1122332
Amekwambia hivyo sababu Kuna sababu nyingi za watu kutokufika kwenye mkutano au kufika na wasipige kura.Sioni kama kuna haja ya kufanya hivyo maana picha inajionyesha
.....Nimeamini ule msemo wa ujinga ni wakati wa kwenda tu
Masahihisho kidogo mkuu. Ni manyunyu ya watotonaona manyunyu ya watu mbele ya mheshimiwa sana,tena watoto wasiojua haki zao
Sababu watu wanaweza kuja kwenye mkutano halafu matokeo yawe tofauti na mategemeo. Ref to mafuriko awamu iliyopita. Mm sikuwa kwenye mkutano hata mmoja Ila nilipiga kura.Mkuu mbona mnakimbilia sana kwenye kupiga kura?
Daaa hapa mwanza watu hawaipendi ccmWananchi wa mkoa wa mwanza wameanza kuionyesha ccm kwa vitendo kuwa wameichoka na hiyo inathibitishwa na ususiaji wa mikutano ya wabunge wa chama hicho mkoani humo.
Hapo ni jana wakati mbunge wa Nyamagana akihutubia mkutano wa hadhara.
Mwenye macho na atazame.....
View attachment 1122332