CCM mwaka wa taabu

Mshambuliaji anapoamua kugeuza mashambulizi langoni kwake
 
wamepoteana magamba,

baada ya mikakati ya kuwafarakanisha UKAWA na kuwanunua wasaliti ndani ya ukawa kubuma

sasa wanjaribu mkakati wa tafiti feki kutakuwa na msururu wa tafiti feki wiki hii.

wameishashindwa nadhani kilichobaki ni kumwangukia EL WAKUBALI YAISHE
 
Mchana CCM,usiku UKAWA,kula CCM kura UKAWA.Chagua LOWASSA,CHAGUA UKAWA( CHADEMA,CUF,NLD,NCCR)

Kuna wiki kama ya 2 imepita niliandika hapa JF kuwa Lowassa atapata kura zaidi ya 500000 toka kwa wanachama wa Ccm pia atapata kura nyingi tu toka kwa mashabiki wa Ccm,zaidi kuna kura atapata kutoka vyama vilivyo nje ya Ukawa nashukuru Magufuli kaliona hivyo anajua kitachotokea !!!.Wasiwasi wangu ni jana Masasi yaani ata wakati Juma Duni Haji alipokuwa anafanya ziara yake niligundua babu Mzee Makaidi hawampendi Masasi ata kidogo na jana kwenye mkutano wa Lowassa niliona hilo,Mwimba poem alipotaja kwamba jimbo la Masasi aachiwe jamaa wa Cuf Ismail Makombe "kundambadwa"uwanja mzima ulilipuka !!.CCM OUT
 
Kampeni kugeuka kuwa uwanja wa maonyesho.
 

Kampeni kugeuka kuwa uwanja wa maonyesho.

ccm mwaka wa tabu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…