Marwa Chacha
Senior Member
- Feb 5, 2015
- 102
- 51
CCM Musoma Mjini naomba katika uchaguzi mkuu mwaka huu mje na mgombea ubunge mpya asiwe Mathayo tena kwa sababu dalili zinaonesha Vincent Nyerere anaenda kupita bila kupingwa mkimrudisha Mathayo.
Pia dalili zinaonesha CCM kupotea Musoma Mjini pia na mkoa wa Mara nzima na huenda majimbo mengi yakaenda CHADEMS katika uchaguzi huu.
Hivi matokeo ya serekali za mitaa Musoma Mjini yalikuwaje kweli????
Mtaa anaokaa Vicent Nyerere CHADEMA tulimsimamisha wani vile????
Dalili ya mvua ni mawingu siyo kiwingu
Ccm kusema kweli wakimurudisha Mathyo.nyerere anapita bila kupingwa mathyo hana mvuto kwa wanamusoma..
Nyerere ni mkazi wa bweri tena nyumba yake ipo njia kuu kwenda shule ya parom naye sema anaishi mkendo.huyo sio mkazi wa musoma.pia kumbuka chadema musoma mjini walikuwa na viti viwili tu katika uchaguzi wa 2009.uchaguzi uliopita dec 2014 wameongeza na kufikisha 29 zilikuwa 31 ila ccm walikimbia mahakamni kupinga ushindi wa mitaa miwili mshikamno na zanzber makoko.sasa unaposema mumeshinda musoma wakati nyinyi ndo mumepoteza zaidi nakushanga..
pinda kitu gani bhana! haja aje mzee wa sandadrusi na pesa si za umma plus prince super pusha hawapati hata za kuombea maji! swinee!Hata haje pinda mzee wapiga tu hapati kitu musoma.
Maneno ya humu ndani inelikuwa ndio utakelezaji kama nchi ilishachukuliwa na wahuni wa nchi hiii