CCM Musoma kwachafuka

Masisiem ni mavi kunuka,yamebaki mafupa tu.
 
mwenye taarifa za kinondoni atujuze
 
umefanya uamuzi sahihi karibu kamanda tupiganie ukombozi wa nchi hii dhidi ya manyang'au hatari ya ccm.

Niliwahi kuwaonya mara kadhaa hapa ubungo lakini hawakutaka kunielewa,wakanisimamisha uanachama matokeo yake CCM ubungo inapumulia mashine muda wowote itakata roho
 
Nishaurini chama cha UKAWA cha kujiunga nacho , lichama la hila na fitna basi
 
La kuvunda halina ubani, kila kitu kina mwisho. CCM huko inakoelekea ikawasalimie: UNIP, KANU, na wazee wenzake waliotangulia mbele ya haki.
 
Cha kufurahisha ni kwamba sasa vijijini hawakubaliki tena
 
mbana JK hawajamwambia aachie ngazi uenyekiti taifa acha nao wakataaee tu ili wasiishie kufukuzana bali chama kisambaratike
 
Kufikia mwezi march mwaka huu sijui kama watakuwa salama
 
Kesho DC ataanza kamata kamata ya vijana na Viongozi wa Chadema musoma kwa hasira ya ccm kufanya vibaya
 
Kesho DC ataanza kamata kamata ya vijana na Viongozi wa Chadema musoma kwa hasira ya ccm kufanya vibaya
Hongera wana mageuzi Musoma hivi chadema walishinda mitaa mingapi na CCM mingapi , hii inafurahisha kuona CCM presha inapanda presha inashuka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…