CCM Musoma kwachafuka

Mizizi inaoza taratibu mwisho mkuyu unapiga Chini,ooh CDM kinakufa baada ya muda fulani,Sasa mi 2015 Naona CCM ndio inaelekea kubaya.
Inafurahisha sana, yule waliyemtegemea kuiua CDM anakufa yeye badala ya CDM.
 
Ooh chadema inafukuza fukuza, mbona wanafukuzana wao
 
sisi kina gogo la shamba tunamshangaa sana kinana, ccm wenzake wanamcheka maana yeye anakwenda kulia wakati wenzake wanakwenda kushoto
 
ccm ni chama kizee wala hakina meno, kama kimetemwa na walimu ambao ndo ilikuwa tegemeo lao basi tena. Kwa upande wa jeshi operation za kimataifa zimetuokoa sana tangu Commoro, Sudan na sasa Congo ndo unafuu wetu lkn hali ni mbaya kuliko maelezo.
 
Kitu kimoja kinachofanyika katika kuwapata wagombea wa CCM kwenye nafasi mbalimbali ndicho cha hatari zaidi kwa sasa.
Kinachofanyika sasa ni kushughulika na kadi za uanachama.Viongozi wamegundua kuwa wakibadilisha mgombea aliyepitishwa na wanachama kumekuwa na malalamiko.Kinachofanyika ni kuuza zile kadi kwa baadhi ya wagombea wanaowataka washinde.Mgombea aliyenunua kadi atafanya utaratibu wa kuwagawia kadi pamoja na pesa wanachama "fake" ili wampigie kura au atapiga yeye mwenyewe na kuzipenyeza kwenye sanduku la kura.Kwa hiyo,wanachama watashangaa mtu wao hakushinda bila kuelewa kilichotokea.
 
:A S wink:CHIchiHEMU:spit::spit: TETEEEH TEEH,,kumekuchaa
 
Naomba Kisife kabla ya uchaguzi mkuu, ili watanzania wakimalizie kwa mikono yao wenyewe
Hasa kwa sababu kule ndo rushwa itatawala. Madiwani watatoa rushwa sana na wabunge. Uraisi ndo usiseme. Makundi yawatafuna na kuwamaliza kabisa! Pole CCM!
 
Mleta uzi heading yako ingetakiwa iwe

MAGAMBA MUSOMA KWACHAFUKA AU
MA-ESCROW MUSOMA KWACHAFUKA AU
MAJIZI MUSOMA YACHAFUKWA
 
Watajua wenyewe wacha wauane kabisa laana ya watanzania inawatafuna.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…