CCM mtawafukuza CCM Wazenji wangapi ??

Nijuavyo mimi Waziri wa Sheria Mr Aboubakar ndo CUF. Huyu mwanasheria ni mfanyakaz wa Serikali, hana chama. Kama anacho ni moyoni mwake. Lakini ni mtumishi wa Umma, ambae kisheria ni Neutral man hata kama ana chama

asante mkuu .
 
Othumani ni cuf au hujui unachofanya wewe bavicha tafuta vizuri ujue ndiyo useme siyo kuropoka unatia aibu sana.


wewe kaka kweli umelala tena umelala dorooo.
othmani ci cuf . aliekuambia kakudanganya na tena bila kutumia IQ yako.
basi kubali pia Karume cuf. Aboud jumbe cuf.
Dr Omar ali juma cuf. sokoine pia cuf. na hata maalim alikua cuf enz hizo za mwalimu??
 
Umesema kweli tupu, mzanzibari kwa jina la Zanzibar anawezafanya lolote kwa Mccm bara asifanywe lolote ila utetezi kuwa ni halali tu. Hata ni afadhari kulishwa limbwata.
 
Nina hakika una nasaba na waarabu.. pole.
Kupigania uhuru unakokuongelea ni kupi?? kule kumnyenyekea na kumsujudu sultani???? uhuru wa Zanzibar ulipatikana kwa MAPINDUZI MATAKATIFU ambayo kwa kiasi kikubwa yalifanikishwa na watanzania bara. Mapinduzi ambayo hata leo hamtaki kuyakubali(mnayaita kharam). hatujali mko wangapi na mna ndevu kiasi gani.. mtaishi kwa matakwa ya wenye nguvu(Blacks)na tutalisimamia hilo milele. Hutaki..... Hamia OMAN kwa nduguzo
 

Kumaendeleo ndio nini ndugu? hiyo ni dalili tosha umezoea sana kutamka hizo herufi nne za mwanzo
 
Watanganyika hawana uwezo wa kuwaambia CCM no. Kama nimekosea niambiwe nini Ambacho wamewahi kukisimamia. Mfano sasa wameambiwa hakuna kusema Tanganyika na kweli wamefyata wanaitwa Tanzania bara. Wakaambiwa hakuna serikali ya Tanganyika wamefyata. Hayo huwezifanya Zanzibar bwana. Watanganyika ni kama dadapoa, wewe andaa pochi kisha mpeleke na mfanye chochote hana shida.
 
Nijuavyo mimi Waziri wa Sheria Mr Aboubakar ndo CUF. Huyu mwanasheria ni mfanyakaz wa Serikali, hana chama. Kama anacho ni moyoni mwake. Lakini ni mtumishi wa Umma, ambae kisheria ni Neutral man hata kama ana chama

Huu ndio ukweli.
 
chukuweni hatua kwa pamoja. hamna cha kupoteza.

 
MACCM wa hukuTanganyika wanajuana kwa uchafu wao. Si unakumbuka walipotaka kufukuzwa akina fisadi Lowassa, fisadi Chenge na fisadi Rozam "Sasa tunalivua gamba" wakatoa tishio kupitia kwa wapambe wao kwamba kama watafukuzwa basi wataweka hadharani uchafu wa DHAIFU wa yale aliyoyafanya il kuingia Ikulu 2005. Tishio hili likasababisha gamba lisivuliwe tena. Kuna sababu na Wazenj kutoa vitisho kama hivi kama wanataki kubaki chama hiki cha wahuni vinginevyo haihusu kitu kujihusisha na chama hiki cha wahuni, magaidi, wauza unga, mafisadi na majangili.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…