Mwamba Usemao Kweli
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 744
- 186
Acha ujinga..... Yeye na wale wanaouwa wajumbe wa NEC kwa sumu nani muhimu...Tuwaogope sana sampuli hii ya viongozi wanaotumia Fedha nyingi, kujenga Makundi ndani ya chama, kuzushia wenzao uwongo kupitia vyombo vya habari na kutisha wenzao ili wapate madaraka makuu ya nchi.
CCM rudisheni chama katika misingi yake ya kutetea wanyonge ambao ni wakulima na wafanyakazi wa taifa hili.
Achaneni na madalali wa ufisadi.
Rais wa Tanzania 2015View attachment 233711
raisi mtarajiwa wa monduli.
Endelea kujidanganya...... kila baada ya dakika 15 lazima Kinana na Lowassa waongee kwenye simu na kupeana mikakati...Kwa CCM ya JK, Kinana na Mangula, hachomoki mtu hapo
Kwanza mpaka uchaguzi ufike Mangula atakuwa jela kwa kosa la kutaka kumuuwa Dr. SlaaKwa CCM ya JK, Kinana na Mangula, hachomoki mtu hapo
Rais wa Tanzania 2015
Ni swala la muda tu mkuu.... tuwe na subiraHana sifa za kuwa raisi wa Tanzania labda raisi wa monduli
Acha ujinga..... Yeye na wale wanaouwa wajumbe wa NEC kwa sumu nani muhimu...
Kwanza mpaka uchaguzi ufike Mangula atakuwa jela kwa kosa la kutaka kumuuwa Dr. SlaaTE]
Dr.Slaa ni tishio Kubwa kwa ccm ndo maana Mangula wanataka kumuua Dr.Slaa ni hatari sana
Mangula huyo Zirail JrKwa CCM ya JK, Kinana na Mangula, hachomoki mtu hapo
Kwanza mpaka uchaguzi ufike Mangula atakuwa jela kwa kosa la kutaka kumuuwa Dr. Slaa
Ni swala la muda tu mkuu.... tuwe na subira
Hana sifa za kuwa raisi wa Tanzania labda raisi wa monduli
Huku Lowasa anafanya nini?Ni swala la muda tu mkuu.... tuwe na subira