Kumbe kunawatu paka leo wanawaza ccm kufa?Utakufa ww ccm iko vilevile na sio ccm pekee hata vyama vingine kama vinaweza kushika (HATAMU)kama ilivyo kwa TAA na TANU paka ww unaona CCM leo.watuletee hoja wenye nchi(Raia)Tukiwasoma ktk code tunawapa ardhi ya tz.