SautiYaMnyonge
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 439
- 742
Kwani nyie mmekatazwa?Hii sio habari. Huu upuuzi tumeuzoea. Namsikitikia mama Lwakatare anayechanganya siasa na dini.
kuna taarifa kuna idadi kubwa sana ya wa mama wamenunuliwa vitambulisho vya umachinga na Mama lwakataee vinavyotolewa na mamlaka ya mji mdogo.
Huyu mama tayari kashaanza kampeni kwa ajili ya kura za maoni ndani ya ccm, na kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa 2020. Maana haishi kutembelea jimbo la mh Lijualikali.
Kamuulize Mbowe hilo swali atakujibu vizuri..according to imf uchumi wa Tz unakua kwa 4.5%.
..sasa tuambie, baada ya hao wana-cdm kuhamia ccm uchumi umekua au utakua kwa asilimia ngapi?
Kwani wewe hujui kuwa kuna katazo la kufanya siasa. Sijui huwa mnakula maharage ya wapi?Kwani nyie mmekatazwa?
Kamuulize Mbowe hilo swali atakujibu vizuri
Ndugu hapo uchumi unaingiaje, ila ni kuwa tuu nguvu ya chadema itapungua...according to imf uchumi wa Tz unakua kwa 4.5%.
..sasa tuambie, baada ya hao wana-cdm kuhamia ccm uchumi umekua au utakua kwa asilimia ngapi?
Huku ni kujidanyanya sana... kwa sasa chekeni... lkn fahamu anaecheka wa mwisho huwa ana enjoy sana... mnajitekenya afu mnacheka wenyeweKwani nyie mmekatazwa?
Mbona humulizi zito kulubuni wanachama wa Cuf anasema shusha tanga pandisha tanga mbona huulizi hilo..kwa hiyo masuala ya ukuaji wa uchumi, ajira, etc hayawahusu CCM?
..jukumu la ccm nchi hii ni kurubuni wanachama wa cdm tu, basi !
Nje ya mada kamanda..according to imf uchumi wa Tz unakua kwa 4.5%.
..sasa tuambie, baada ya hao wana-cdm kuhamia ccm uchumi umekua au utakua kwa asilimia ngapi?