donniebrasco
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 887
- 775
Kwa kinachoendelea Arumeru utasema upinzani uko serious?Mleta uzi, umeandika vema. Na haiwezekani boya mmoja aseme upinzani ni dhaifu wakati hakuna uwanja huru wa kupiga siasa. CCM ni waoga tu. Mfano mdogo ni kuhusu Lowassa. Hivi karibuni bwana Poleharaka alisema hawamuhofii. Ila ukiwa na macho "manene" na ukimuangalia kwa umakini ni kiumbe anayemuhofia sana Lowassa kisiasa.
Mkuu, ule uhuni wa wale zumbukuku waliojiuzulu hauwezi kuufanya upinzani wote ukawa wa hovyo. Wale ni mababa majitu mazima. Yanajua (ndani kabisa mioyoni mwao) yanachokifanya. Ukipoteza muda kuwatafakari tutakuletea aspirin!Kwa kinachoendelea Arumeru utasema upinzani uko serious?
Inakera sana hii kitu
Nothing is easier than blaming others for your own problems
Kwa hiyo wanapojiuzuru we unachukulia sio chama tena badala yake ni watu binafsi?Mkuu, ule uhuni wa wale zumbukuku waliojiuzulu hauwezi kuufanya upinzani wote ukawa wa hovyo. Wale ni mababa majitu mazima. Yanajua (ndani kabisa mioyoni mwao) yanachokifanya. Ukipoteza muda kuwatafakari tutakuletea aspirin!
Hahahahaaa! Siyo kila jambo uliwekee mtiririko kadiri unavyoona. Lengo la wao kujiuzulu (kushawishiwa kimazingira) ni kutaka kuonesha kule upinzani ni kichaka kinukacho mkojo. Nami naamini lengo lao, kama ilivyopangwa, linakaribia kutimia. Hata weye unaingia mkenge. Siasa za dunia hii zimejaa ujanjaujanja, fitna, husda, propaganda na mengine kadha wa kadha.Kwa hiyo wanapojiuzuru we unachukulia sio chama tena badala yake ni watu binafsi?
Wangekua wamefanya mazuri ungesema ni watu binafsi au ungesema ni chama?
Mbona Magufuli hua tunamponda kwa kusema ni ccm in general? Akikosea Magufuli utakubali tuseme ni mtu binafsi na sio ccm? Uwe makini.
Tumuombe Mungu tupate wapinzani makini.
Nothing is easier than blaming others for your own problems