JOSEPHAT J BAZA
Member
- May 4, 2013
- 27
- 22
Hivi karibuni mheshimiwa mkuu wa nchi amekataza mikutano ya vyama vya siasa hadi 2020. Sasa hebu tujiulize, katiba ambayo kwayo aliapa kuilinda inasemaje juu ya shughuli za vyama vya kisiasa? CCM wajitafakari wasiirudishe nchi ktk enzi za chama kushika hatamu!