MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Kila uchaguzi lazima mbezwe kwa sababu ambazo kiukweli zinaingia akilini. Ni kweli kabisa mnalalamikiwa kua ushindi wenu hua ni wa kulazimisha, wa kutumia mabavu, rushwa na mabao ya mikono.Ili kuondokokana na yote fanyeni hivi,
1.Mshaurini Mwenyekiti wenu aruhusu mikutano ya kiasia,
2.Mshaurini Mwenyekiti wenu aweke tume huru ya uchaguzi,
3.Mshaurini Mwenyekiti wenu asimamie rushwa wakati wa uchaguzi.
4.Awatoe wakurugenzi wa halmashuri kusimamia uchaguzi, awezeshe tume ya uchaguzi ipeleke mawakala wake mikoani.
Akifanya hivyo hamtalalamikiwa tena na mtaambiwa kua mmeshinda halali kuliko sasahivi mnavyobezwa.