CCM mnaandika lakini?

CCM mnaandika lakini?

lubamba

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2015
Posts
947
Reaction score
617
Ngoma nzito.Hao mnaowaita nyumbu,malofa wanazidi kuongezeka.Jana Mwanza wameenda cuf,Arumeru,Monduli wamechoma viparata vyenu,Mheza mmeshuhudia mamia wakivitupa kwenye dustbin.Kama hamjui hesabu hata picha hamuoni.Subiri j'tatu mshuhudie gharika.Hitimisho kwenye majukwaa.Jiandaeni mapema ki saikolojia.Nchi yetu Ni ya Amani.Hatutaki vurugu.Kabidhini Nchi kupitia sanduku LA kura.Mwisho wa bao LA mkono mmeshaelezwa ni bafuni.
 
Tatizo kuanzia mwenyekiti wao hadi wanachama wao kama faiza mbweha wote vichwa maji,wanadhani watashinda ngoja oct uone watakavyolia ccm ni mavi ya mbwa,ptuuu...
 
Ccm wanasema hao ni makapi! Sasa sijui ile dhahabu safi itabakia kiasi gani Mungu wangu!
 
wanahaha hao,
Na hii naambiwa ni mikakati yao

kuna ujumbe unasambaa kwa magrup ya ccm NA NI SIRI

CCM YETU, TUILINDE

Ndugu watanzania na wanachama wa CCM, zomea zomea kwa watu wanaovaa sare za Chama chetu imeanza rasmi bila kificho na kuanzia juzi UKAWA walipotangaza mgombea wao hali imekuwa mbaya zaidi.

Tunaomba makada wetu wote kutoingiwa na hofu na Kuendelea kuvaa sare za chama chetu na kutembea kwa makundi ili kuepuka dhahama inayoweza kutokea kwa kuvaa nguo za chama chetu _ CCM

Viongozi wote wa CCM kwenye mikutano yote ya CCM,toeni vitisho kwenye hotuba zenu kama Rais alivyotoa vitisho kwenye hotuba yake ya juzi Ofisi ndogo ya chama Lumumba.

Kwa kutoa kauli za vitisho itasaidia kuwafanya watanzania wasijitokeze kwenye kupiga kura kwa wingi na kufanya zoezi la uchakachuaji kuwa rais zaidi, kwa sababu kama mnavyojua bila uchakachuaji mwaka huu kushinda ni ndoto.

Tunatumia kila idara tulizonazo kuhakikisha UKAWA inapasuka vipande vipande, hivyo viongozi wote wa chama chetu endeleeni kuwaaminisha wananchi kuwa UKAWA ni wapenda madaraka na wao kwa wao wanagombana na hii itafanya wananchi wasio wafuatiliaji wa mambo kuamini na kuzidi kukipa ushindi chama chetu CCM

Popote pale kwenye mwanya wa kukusanya vitambulisho Vya kupigia kura tufanye hivyo na tutapeana maelekezo ya namna ya kuvitumia vitambulisho hivyo hapo baadaye

Tuhakikishe kwa namna yoyote tunamwingiza Magufuli Ikulu maana ni mtu pekee mwenye uwezo wa kulinda chama chetu na mfumo wake kwa kuwa hakijui chama na sisi ndiyo tutamweka madarakani hivyo hata thubutu kuongoza ajuavyo yeye, ni lazima atafwata matakwa ya chama hata kwa yale yasiyo kuwa na maslahi mapana ya nchi na haya ndiyo makubaliano yetu

UJUMBE HUU NI WA SIRI NA TUSIUSAMBAZE KWENYE MAGROUP YA NJE, USAMBAZWE KWENYE MAGROUP YOTE YA CHAMA CHETU

MAKAO MAKUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI DODOMA
 
Ujumbe huu ni wa kuzusha lakini ndo ukweli wenyewe mwaka huu ccm chali
 
Tatizo kuanzia mwenyekiti wao hadi wanachama wao kama faiza mbweha wote vichwa maji,wanadhani watashinda ngoja oct uone watakavyolia ccm ni mavi ya mbwa,ptuuu...

Kwani ukitukana mtu ndio unaonesha uhodari wako ktk kuchangia hoja au!? Najua wewe ni kibabu ila jua kuna tofauti kati ya maturity na aging!
 
wanahaha hao,
Na hii naambiwa ni mikakati yao

kuna ujumbe unasambaa kwa magrup ya ccm NA NI SIRI

CCM YETU, TUILINDE

Ndugu watanzania na wanachama wa CCM, zomea zomea kwa watu wanaovaa sare za Chama chetu imeanza rasmi bila kificho na kuanzia juzi UKAWA walipotangaza mgombea wao hali imekuwa mbaya zaidi.

Tunaomba makada wetu wote kutoingiwa na hofu na Kuendelea kuvaa sare za chama chetu na kutembea kwa makundi ili kuepuka dhahama inayoweza kutokea kwa kuvaa nguo za chama chetu _ CCM

Viongozi wote wa CCM kwenye mikutano yote ya CCM,toeni vitisho kwenye hotuba zenu kama Rais alivyotoa vitisho kwenye hotuba yake ya juzi Ofisi ndogo ya chama Lumumba.

Kwa kutoa kauli za vitisho itasaidia kuwafanya watanzania wasijitokeze kwenye kupiga kura kwa wingi na kufanya zoezi la uchakachuaji kuwa rais zaidi, kwa sababu kama mnavyojua bila uchakachuaji mwaka huu kushinda ni ndoto.

Tunatumia kila idara tulizonazo kuhakikisha UKAWA inapasuka vipande vipande, hivyo viongozi wote wa chama chetu endeleeni kuwaaminisha wananchi kuwa UKAWA ni wapenda madaraka na wao kwa wao wanagombana na hii itafanya wananchi wasio wafuatiliaji wa mambo kuamini na kuzidi kukipa ushindi chama chetu CCM

Popote pale kwenye mwanya wa kukusanya vitambulisho Vya kupigia kura tufanye hivyo na tutapeana maelekezo ya namna ya kuvitumia vitambulisho hivyo hapo baadaye

Tuhakikishe kwa namna yoyote tunamwingiza Magufuli Ikulu maana ni mtu pekee mwenye uwezo wa kulinda chama chetu na mfumo wake kwa kuwa hakijui chama na sisi ndiyo tutamweka madarakani hivyo hata thubutu kuongoza ajuavyo yeye, ni lazima atafwata matakwa ya chama hata kwa yale yasiyo kuwa na maslahi mapana ya nchi na haya ndiyo makubaliano yetu

UJUMBE HUU NI WA SIRI NA TUSIUSAMBAZE KWENYE MAGROUP YA NJE, USAMBAZWE KWENYE MAGROUP YOTE YA CHAMA CHETU

MAKAO MAKUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI DODOMA

muwe mnatumia akili japo kidogo.
 
Yaani CCM bila kuwepo FFU matokeo hayatangazwi!? Mwaka huu mtaelewa tu
 
Vitisho? JK anatishia wajukuu zake na akina havintishi sisi hatutakaa tuogope maneno yake hata dakika moja
 
Ujumbe huu ni wa kuzusha lakini ndo ukweli wenyewe mwaka huu ccm chali

Jamaa kajitahidi kuutengeneza, teh teh wabongo kwa kuzusha tu. alipo kosea mwishoni "hata kama haina maslahi mapana kwa taifa" hapa ndo nimekushika ingawa ni kweli.
 
wanahaha hao,
Na hii naambiwa ni mikakati yao

kuna ujumbe unasambaa kwa magrup ya ccm NA NI SIRI

CCM YETU, TUILINDE

Ndugu watanzania na wanachama wa CCM, zomea zomea kwa watu wanaovaa sare za Chama chetu imeanza rasmi bila kificho na kuanzia juzi UKAWA walipotangaza mgombea wao hali imekuwa mbaya zaidi.

Tunaomba makada wetu wote kutoingiwa na hofu na Kuendelea kuvaa sare za chama chetu na kutembea kwa makundi ili kuepuka dhahama inayoweza kutokea kwa kuvaa nguo za chama chetu _ CCM

Viongozi wote wa CCM kwenye mikutano yote ya CCM,toeni vitisho kwenye hotuba zenu kama Rais alivyotoa vitisho kwenye hotuba yake ya juzi Ofisi ndogo ya chama Lumumba.

Kwa kutoa kauli za vitisho itasaidia kuwafanya watanzania wasijitokeze kwenye kupiga kura kwa wingi na kufanya zoezi la uchakachuaji kuwa rais zaidi, kwa sababu kama mnavyojua bila uchakachuaji mwaka huu kushinda ni ndoto.

Tunatumia kila idara tulizonazo kuhakikisha UKAWA inapasuka vipande vipande, hivyo viongozi wote wa chama chetu endeleeni kuwaaminisha wananchi kuwa UKAWA ni wapenda madaraka na wao kwa wao wanagombana na hii itafanya wananchi wasio wafuatiliaji wa mambo kuamini na kuzidi kukipa ushindi chama chetu CCM

Popote pale kwenye mwanya wa kukusanya vitambulisho Vya kupigia kura tufanye hivyo na tutapeana maelekezo ya namna ya kuvitumia vitambulisho hivyo hapo baadaye

Tuhakikishe kwa namna yoyote tunamwingiza Magufuli Ikulu maana ni mtu pekee mwenye uwezo wa kulinda chama chetu na mfumo wake kwa kuwa hakijui chama na sisi ndiyo tutamweka madarakani hivyo hata thubutu kuongoza ajuavyo yeye, ni lazima atafwata matakwa ya chama hata kwa yale yasiyo kuwa na maslahi mapana ya nchi na haya ndiyo makubaliano yetu

UJUMBE HUU NI WA SIRI NA TUSIUSAMBAZE KWENYE MAGROUP YA NJE, USAMBAZWE KWENYE MAGROUP YOTE YA CHAMA CHETU

MAKAO MAKUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI DODOMA

Duh! We utakuwa ndugu yake Erick Shigongo kwa utunzi mzuri
 
Kijana😀ah, UKAWA imejaa, lazima tutampata Rais, Wabunge na Madiwani.
Mzee wa mama Tanzania:Karibu UKAWA mdogo wangu nikusaidie nini?
Kijana:Namwulizia rais yupo
Mzee wa mama Tanzania:Eh yupo Edward Ngoyai Lowasa
Kijana:Makamu wa rais je?
Mzee wa mama Tanzania:Yupo Babu Juma Duni Haji
Kijana:Waziri mkuu je?
Mzee wa mama Tanzania:Atapatikana baada ya uchaguzi kwani UKAWA watakuwa na kura nyingi sana.
Kijana: Maisha bora yatakuwepo?
Mzee wa mama Tanzania: Maisha bora yatakuwepo kwani tunauchukia umaskini na tutazingatia maadili
Kijana:Nishamaliza maswali yangu, nimeridhika sasa nijiunge na UKAWA, ila na kile chama chakavu inakuwaje?
Mzee wa mama Tanzania: Mbona unakililia kwani umejipangaje?
Kijana:Nitawapa UKAWA kura yangu, ila naona UKAWA utapata kura asilimia 75, kwanini tusiwapunguzie CCM hata hizo
asilimia 5.
Mzee wa mama Tanzania:Ndooooooorooobo wale wametutesa sana, yaani wapunguziwe asilimia 5? Si bora tuwape TLP
wajipepeeeee na ruzuku!
 
Back
Top Bottom