CCM.....Mmetufikisha Hapa

CHA The GREAT

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
651
Reaction score
855
CCM...Mmetufikisha Hapa.....
Bombadier, ni nyie....
Makinikia, ni nyie......
Samaki wa....nani nani sijui, ni nyie....
Escrow, ni nyie.....
Fedha kwenye mifuko ya jamii kama vile PPF, mnazuia watu wasichukue ilihali mnajua watu hao wamepoteza au hawana ajira.
Halafu mnataka tuwaombee kwa Mungu? Tunawaombea vipi kwa Mungu wakati mnatuumiza? Tunawaombea vipi kwa Mungu wakati mnatupa umasikini?
Hapana, tutamuomba Mungu awaadhibu na si vile mnavyotaka.
 
Tutamchagua tena Magufuli 2020 '' Rais wetu anapiga kazi''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…