Wote mnaofanya siasa mwaka huu sijui mtatuambia nini raia! Mmebakiza almost miaka 2, so far sijui mnajipimaje, au mnajipanga kuwekeza kwenye nini, Ila Hofu yangu ni kuwa muda uliobaki ni mchache mno.
Jenga hata koromije ili upate kwa kujifichia
Haya jiandaeni your days are numbered
- Mtaani sidhani kama utawala huu uko popular kihivyoo
- Maofisini hakuna nyongeza za mishahara na Kuna baadhi ya viongozi wanawadhalilisha watumishi. Naona nako si shwari
- Vyuoni nako hali ni mbaya sidhani kama ndalichako au mkuu wameweza kuhamsha hamasa kwa vijana kuikubali serikali Yao
- Chamani Naona hali ni tete, hata hamna uhakika kama Kweli jina litapita mkutano mkuu bila ya kupingwa, labda kikao kiitishwe kwenye "mágogo"
Jenga hata koromije ili upate kwa kujifichia
Haya jiandaeni your days are numbered