shaka akuna
Member
- Aug 19, 2014
- 72
- 19
Huyu mbunge wa jimbo la Segerea,hafai kupitishwa tena na chama chenu....
Ameanza,
1:-hongo na kuhaidi pikipiki kwa vijana,eti uweke kiasi cha laki3 katika account ya benk(namba siwezi ziweka hapa) alafu anakupa pikipiki huku unaendelea kulipa taratibu,hii nayo ni hongo kama hongo nyingine
2:-ameanza kuwa honga wajumbe wanao toka Tabata kimanga,huku akisema yeye ni mafia(huo umafia anamaanisha nini)
3😛ia tumechoka tabata kuwa tunaambiea tunashida ya maji miaka nenda rudi,tumekuwa tunadharaulika na wakazi wamaeneo mengine kuwa tunashida ya maji,na hadi anachukuwa fomu tena tatizo la maji tabata bado lipo,hii inamaanisha kuwa ajatuwakilisha vilivyo,AKATWE TU
4:-kwa wale wanao ishi/kupajua tabata kimanga,kunatatizo sugu la barabara kuwa mbovu,hali iliyo pelekea daladala kugoma kufika kimanga mwisho mwaka jana,na hadi naandika mda huu tatizo bado lipo na huyu jamaa anataka awamu hii tumchaguwe ahahahhahah yangu macho,
5:-kama mmeweza watumia takukuru katika harakati zenu za kumpata Pombe magufuri vivyo hivyo hebu watumieni kumfatiria huyu jamaa mana ananuka rushwa.....
MWISHO:-""nichagueni mie kuwa mbunge wenu ili mpate bahati ya kupata tena kutowa waziri......""
Eti ndio anapiga kampeni ya ndani ya chama.
MSIPO MKATA NYIYE WENYEWE BASI WANA SEGEREA WATAMKATA.