Kuna kila dalili baada ya Mkoa wa Mbeya kuwa ktk Kipindi cha wadau wengi kupinga Makao Makuu ya Mkoa kwenda Songwe likiwa halijaisha, zipo taarifa kuwa Diwani wa Mbebe aliyetimuliwa Udiwani na uwanachama anarudishwa.
Akiwa katka mazungumzo na wenzake wanaomuunga akiwepo Mbunge wa Ileje, Diwani huyo amesema walimuomba Katibu wa CCM MKOA ndg. SENGELEMA Kuchakachua mhitasari utakao kwenda kujadiliwa na NEC Dodoma wiki hii.
Amesema lazma nirudi, hata iweje. Diwani huyo anakashifa nyingi zikiwepo Ubakaji, wizi, utapele n.k. Hata hivyo Sengelema na Mbunge wamekariliwa Mara nyingi wakipingana na Maamzi ya Kamati ya Siasa.
Kuna taarifa kuwa Madiwani zaidi ya 12 na Viongozi wa juu wa CCM Wilayani Ileje wote wataachia nafasi zao endapo NEC Itamrudisha kazini Diwani huyo. Ngoja tusubilie ya Dodoma.