Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeibuka kidedea katika uchaguzi mdogo katika kijiji cha Saza Jimbo la Songwe Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya baada ya kunyakua kiti cha Mwenyekiti wa kijiji na vitongoji vyote sita vya kijiji hicho.
Msimamizi msaidizi wa uchaguzi huo, Weston Njeje, akizungumza na NIPASHE jana kutoka Chunya alisema mgombea wa Mwenyekiti wa Kijiji cha Saza kupitia CCM, Philipo Mwakitalima, ameshinda kwa kupata kura 367 na kumshinda mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Robert Nselu, aliyeambulia kura 19.
Kwa stahili hii CCM itakufa????????
rhebu msikie kamanda nassariChama Cha Mapinduzi (CCM), kimeibuka kidedea katika uchaguzi mdogo katika kijiji cha Saza Jimbo la Songwe Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya baada ya kunyakua kiti cha Mwenyekiti wa kijiji na vitongoji vyote sita vya kijiji hicho.
Msimamizi msaidizi wa uchaguzi huo, Weston Njeje, akizungumza na NIPASHE jana kutoka Chunya alisema mgombea wa Mwenyekiti wa Kijiji cha Saza kupitia CCM, Philipo Mwakitalima, ameshinda kwa kupata kura 367 na kumshinda mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Robert Nselu, aliyeambulia kura 19.
Kwa stahili hii CCM itakufa????????
Uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa 9 ya mamlaka ya mji mdogo USA River wilayani Arumeru. Mitaa yote ilikuwa chini ya CCM. Leo baada ya Uchaguzi CHADEMA 6, CCM 3. Kwa maana nyingine CDM itaongoza mamlaka ya mji mdogo Usa River.
CCM walileta mawaziri, kwa CDM nikakomaa na Makamanda wenzangu the underdogs lakini hatimaye imedhihirika uongo hauwezi kuushinda ukweli.
maziko rasmi ya ccm ni 2015.kaburi la ccm litafunikwa kwa zegeYote amesama ya ukweli kuhusu CCM lakini Yupi au Chama gani kinaweza kuboresha maisha ya Wananchi wao na kuacha Rafiki anateseka na Jembe kijiji.Hongera kwa kusababisha Kifo cha CCm kwahiyo Mazishi lini?
Angalia usije kutangulia wewe kufa kabla ya CCM chama makini.
hata akitangulia haina maana kuwa alichokisemasio kweli mkuu.Angalia usije kutangulia wewe kufa kabla ya CCM chama makini.
rhebu msikie kamanda nassari
Uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa 9 ya mamlaka ya mji mdogo USA River wilayani Arumeru. Mitaa yote ilikuwa chini ya CCM. Leo baada ya Uchaguzi CHADEMA 6, CCM 3. Kwa maana nyingine CDM itaongoza mamlaka ya mji mdogo Usa River.
CCM walileta mawaziri, kwa CDM nikakomaa na Makamanda wenzangu the underdogs lakini hatimaye imedhihirika uongo hauwezi kuushinda ukweli.
TULIANZA NA MUNGU, TUTAMALIZA NA MUNGU.
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeibuka kidedea katika uchaguzi mdogo katika kijiji cha Saza Jimbo la Songwe Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya baada ya kunyakua kiti cha Mwenyekiti wa kijiji na vitongoji vyote sita vya kijiji hicho.
Msimamizi msaidizi wa uchaguzi huo, Weston Njeje, akizungumza na NIPASHE jana kutoka Chunya alisema mgombea wa Mwenyekiti wa Kijiji cha Saza kupitia CCM, Philipo Mwakitalima, ameshinda kwa kupata kura 367 na kumshinda mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Robert Nselu, aliyeambulia kura 19.
Kwa stahili hii CCM itakufa????????......