CCM kwanini lakini??

CCM kwanini lakini??

JB MUNA

Senior Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
147
Reaction score
17
Nimeona tangazo linalorushwa na Star Tv juu ya mgombea wa UKAWA Mh Edward Lowasa hakika CCM mnaboa sana..Si democrasia ya kweli kutoa picha za kumchafua mgombea binafsi.Hakika wananchi ndo wana jukumu la kuchagua kiongozi yeyote wamtakao.Naomba CCM mbadilike pia NEC waingilie kati juu ya matangazo yanayohatarisha amani ya nchi..
 
Hata mimi Nimeiona Hii Propaganda ya StarTV, Nadhani Hii Haikubaliki Na Wengi Watapiga Kelele Wakiiona.

Hizi Kampaign za StarTV, Si Sahihi Kwa Mgombea wa UKAWA Mh.Lowassa; Hata Kama Mnatafuta Kuugwa Mkono Na Wapiga Kura Hili

Nadhani Wengi Watapiga.Kuna Picha za Mh. Lowassa Kipindi Alipokuwa Anatoa Misaada Misikitini,Makanisani na Kwenye Makundi Maalum;

Basi Wametoa StarTV Wametoa Clips Nyingi za Mh. Lowassa Na Kuziunganisha na Hotuba za Mwl. Nyerere.Kuhusu Kutoa fedha.

Naona Kama Hii Itaruhusiwa Basi Ni Hatari tupu.Sijazipenda Propaganda za StarTV, Wamewamia Watu Wameona Hawana Impact

Sasa Hii Nadhani Watazamaiji Wapenda Mabadiriko Wataikacha Hii TV. Hii Inafanana Na Propaganda za 1995 Wakati wa Mgombea Urais

Mrema Kuhusu Picha/Sinema ya Wanyarwanda yenye lengo la Kuwatia Hofu Watanzania Wasiwachague Wawapendao.
 
Ccm na hospitali za serikali zenye huduma duni.jengo la vichaa muhimbili mbu kama nyuki.
 
Back
Top Bottom