umeongea mengi mazuri, yanayopaswa kufanywa na jamii nzima ya tanzania, kama ushahidi upo hakuna aliye juu ya sheria tusihukumu watu kwa kuwa fulani kaema huyu fisadi tujenge utaratibu wa kumtaka ampeleke mahakamani nae atoe ushahidi sio kutumia vyombo vya habari kulalamika na kupakana matope, sio dhambi ndugu, jamaa, watoto, mke nk kushiriki kwa pamoja shughuli za kisiasa midhali wanapitia mchakato wa kupigiwa kura si kuteuliwa[hata kama hana sifa] tusiwahukumu wanasiasa peke yao yapo maeneo mengi ktk taifa baba,mama na watoto wamekuwa wakifanya kazi pamoja wakiwa wamepitia njia halali na upendeleo hilo ndilo taifa kwa uwazi kabisa hata vyama vingine vyenye nguvu hapa nchini undugu, ujamaa , baba na mtoto wanavyo lkn cha msingi je? wanastahili wamepatikana kwa uwazi kama upendeleo ndo taifa hilo mezea. utekelezaji wa sera ukisimamiwa vzr bila shaka hata vijana kuzurura itapungua kwani fursa nyingi za kijipatia kipato zitapatikana sote kwa pamoja tuuungane kuikosoa serikali inapokosea. na jamii ikubali kupokea maagizo, amri na maonyo toka kwa serikali ili kulinda amani na utulivu.