"CCM, kwa mtini jifunzeni mfano huu"

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951


Vijana hawa wenye mapenzi makuu na CHADEMA wakijitafutia Riziki maeneo ya Ilula

Nilijaribu kuwauliza ni kiasi gani wanakereketwa na kile wanachokiamini, pamoja na kutokuwa na upeo mkubwa katika siasa wanasema "CHADEMA NDIYO YENYEWE MKUU, TULETEENI TAWI HAPA NA BENDERA". (mimi si mwanachama wa CHADEMA wala mkereketwa wa Chama chochote lakini mtizamo wa vijana hawa ulinifanya nikumbuke na kuyatafakari sana kwa kina maandiko yaliyomo katika kitabu kitakatifu (Biblia) Marko 13: 1- 30) kwa wenzangu wa Kristo mwafahamu. NikaJisema Moyoni "Enyi watawala wa sasa (CCM), kwa mtini jifunzeni mfano huu:

'
.
 

Attachments

  • Iringa CDM.jpg
    92.4 KB · Views: 455
  • IRINGA.jpg
    105 KB · Views: 69
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…