Baada ya kufa kwa CCM wote tutakuwa tunaikumbuka TANU na Afroshiraz Party lakini sio CCM,kwani ukiikumbuka CCM tutakuwa tunakumbuka machungu ya ufisadi ,rushwa,dhuruma,wizi wa kura ,mipasho , matusi,katiba ya Chenge yaani yale mambo yote ya hovyo.Lazima tuizike CCM ikiwa baado inapumua ,ikiachwa itakuja kuwaharibu wajukuu wetu ,