CCM Kutokufanya mkutano inaashiria nini?

Luthar

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
519
Reaction score
105
Chama cha ccm baada yakuona hali ni mbaya yakutoudhuriwa na watu wameona wasemekuwa wanaenda kwenye msiba naona wameona hali ni mbaya kwa upande wao nibora wamejua mapema arusha hawana lao chadema mwendo mdundo mpaka kieleweke au siyo wapenda mabadiliko
 
Chama kimekufa na cha kuwaeleza wananchi hawana kwa sasa maana mitaji yao watu wameisitukia yaani umaskini na ujingaz!
 
ccm kwisha kazi , Asante sana Lema kwa kuhakikisha unaitokomeza CCM Arusha , inasemekana hata ile minguo yao ya Kijani , siku hizi wanavalia kwenye vyoo vya karibu na viwanja vya Mikutano ! Poor CCM !
 
CCM inajiua yenyewe.Imekuwa ikiwatangazia watu wa Kaskazini na Wachaga kwamba Chama chao ni CHADEMA.Sasa wanaogopa kwenda kula matapishi yao.Hawajui waanzie wapi.
 
Ccm chama cha mabwege kweli.......
 
CCM inajiua yenyewe.Imekuwa ikiwatangazia watu wa Kaskazini na Wachaga kwamba Chama chao ni CHADEMA.Sasa wanaogopa kwenda kula matapishi yao.Hawajui waanzie wapi.

Ni kweli mkuu, wao walifikiri propaganda iyo ya udini na uksnda ingeliwasaidi sasa hata hao masalia wanaona aibu kujiyokeza.
 
Chama cha ccm baada yakuona hali ni mbaya yakutoudhuriwa na watu wameona wasemekuwa wanaenda kwenye msiba naona wameona hali ni mbaya kwa upande wao nibora wamejua mapema arusha hawana lao chadema mwendo mdundo mpaka kieleweke au siyo wapenda mabadiliko

Inajiandaa kushinda kwa kuongeza makasha ya kura za NDIYO kwa mgombea wao!!
 
CCm Arusha naona sasa wameanza kuelewa maana ya "Arusha ni ngome ya CDM"
 
Chama cha ccm baada yakuona
hali ni mbaya yakutoudhuriwa na watu wameona wasemekuwa wanaenda kwenye
msiba naona wameona hali ni mbaya kwa upande wao nibora wamejua mapema
arusha hawana lao chadema mwendo mdundo mpaka kieleweke au siyo wapenda
mabadiliko

Nape na Mwigulu nina ham sana kuwaona arusha, na wale mahawara zao waliotimliwa Cdm.
 
Chadema tumaini la watanzania,chezeaaaaaa machaliii ya chuga
 
Chama cha ccm baada yakuona hali ni mbaya yakutoudhuriwa na watu wameona wasemekuwa wanaenda kwenye msiba naona wameona hali ni mbaya kwa upande wao nibora wamejua mapema arusha hawana lao chadema mwendo mdundo mpaka kieleweke au siyo wapenda mabadiliko

Cc: Ritz
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom