JIULIZE KWANZA
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 2,569
- 500
kutakuwa na kitu huko.leo lazima wakitaje
Kwa bahati nzuri ni kwamba Rais JK amewaambia ukawa kuwa mna ugonjwa wa kutaka kusikia tu yale yanayowafurahisha. Mkiambiwa ukweli mnanuna
Kwa kawaida mtu anayezungumza ukweli lazima afanane na mwenzake ambaye anazungumza ukweli ule ule. ila watakaosema kwa kuongopa lazima watatofautiana. Mathalan, ikiwa utaulizwa swali kuwa 1 + 1 ni ngapi? wale watakaosema ukweli hata kama watakuwa milioni watasema kuwa jibu lake ni mbili. Ila kama wataongopa hapo lazima utasikia mwingine anasema moja, mwingine atasema tatu, mwingine sifuri ilimradi kila mtu atatoa jibu analoona linafaa na atautetea uongo wake kuwa ni ukweli. Jaribu kutafakari japo kwa sekunde moja utajua nini namaanisha
This is a serious question...I am not joking. Kila mwanachama/kiongozi akizungumza anazungumza kwa tambo zisizo na maana,kejeli,dharau na maneno matupu yasiyo na tija. Anakuwa tofauti na yule wa kabla ya kujiunga CCM.
Nimemuona na kumsikia mdogo wangu Salum Ally Hapi wa CCM aliyekuwa akihojiwa katika kipindi cha Tuongee Asubuhi cha Star TV leo. Hapi amebadilika. Si yule aliyekuwa mjenzi wa hoja UDSM na kuaminika. Hapi alipojiunga UDSM kwa Shahada ya kwanza ya Sheria,alinikuta nipo mwaka wa tatu Kitivoni. Nilimuacha akiwa mwaka wa pili.
S.A.Hapi si yule kabisa. Amefunzwa au kulishwa nini? Na kwanini karibu wote wanafanana uzungumzaji na wanavyovizungumza?
Bwana mdogo Salum Ally Hapi,jirekebishe and kindly mind your words and acts!
Its not them talking, they are just spokes persons, as such, consistency is inevitable

Mkuu uko sahaihi kabisa mimi hadi leo nawashangaa sana wafuasi,wanachama,wapenzi , viongozi na mashabiki wote wa CCM.niliwahi kuposti maoni yangu humu nikielezea wasiwasi wangu kuwa huenda ktk chama hiki kuna kitengo cha siri sana zaidi ya kitengo cha usalama wa CCM.Hiki kinaweza kuwa kina mkusanyiko wa washirikina na kazi yake kubwa ni ku flush akili za wana chama wao.maana michango yao mitandaoni,michango yao kwenye vikao kama bunge n.k ,wakihojiwa ,midahalo n.k ni pumba tupu.hata wale waliokuwa mahili kabla ya kujiunga na CCM wote pumba tu.mkuu nakubaliana na wewe wala sitoi kashfa.hili naliongea kwa huzuni kabisa.This is a serious question...I am not joking. Kila mwanachama/kiongozi akizungumza anazungumza kwa tambo zisizo na maana,kejeli,dharau na maneno matupu yasiyo na tija. Anakuwa tofauti na yule wa kabla ya kujiunga CCM.
Nimemuona na kumsikia mdogo wangu Salum Ally Hapi wa CCM aliyekuwa akihojiwa katika kipindi cha Tuongee Asubuhi cha Star TV leo. Hapi amebadilika. Si yule aliyekuwa mjenzi wa hoja UDSM na kuaminika. Hapi alipojiunga UDSM kwa Shahada ya kwanza ya Sheria,alinikuta nipo mwaka wa tatu Kitivoni. Nilimuacha akiwa mwaka wa pili.
S.A.Hapi si yule kabisa. Amefunzwa au kulishwa nini? Na kwanini karibu wote wanafanana uzungumzaji na wanavyovizungumza?
Bwana mdogo Salum Ally Hapi,jirekebishe and kindly mind your words and acts!
Kwa kawaida mtu anayezungumza ukweli lazima afanane na mwenzake ambaye anazungumza ukweli ule ule. ila watakaosema kwa kuongopa lazima watatofautiana. Mathalan, ikiwa utaulizwa swali kuwa 1 + 1 ni ngapi? wale watakaosema ukweli hata kama watakuwa milioni watasema kuwa jibu lake ni mbili. Ila kama wataongopa hapo lazima utasikia mwingine anasema moja, mwingine atasema tatu, mwingine sifuri ilimradi kila mtu atatoa jibu analoona linafaa na atautetea uongo wake kuwa ni ukweli. Jaribu kutafakari japo kwa sekunde moja utajua nini namaanisha
This is a serious question...I am not joking. Kila mwanachama/kiongozi akizungumza anazungumza kwa tambo zisizo na maana,kejeli,dharau na maneno matupu yasiyo na tija. Anakuwa tofauti na yule wa kabla ya kujiunga CCM.
Nimemuona na kumsikia mdogo wangu Salum Ally Hapi wa CCM aliyekuwa akihojiwa katika kipindi cha Tuongee Asubuhi cha Star TV leo. Hapi amebadilika. Si yule aliyekuwa mjenzi wa hoja UDSM na kuaminika. Hapi alipojiunga UDSM kwa Shahada ya kwanza ya Sheria,alinikuta nipo mwaka wa tatu Kitivoni. Nilimuacha akiwa mwaka wa pili.
S.A.Hapi si yule kabisa. Amefunzwa au kulishwa nini? Na kwanini karibu wote wanafanana uzungumzaji na wanavyovizungumza?
Bwana mdogo Salum Ally Hapi,jirekebishe and kindly mind your words and acts!
Kweli wewe ni Abunuas. Pole!
Kwasasa nimegundua kuna tatizo kuwa kila anayeshabikia serikali tatu au sera au hoja ambayo imeshasemwa na ccm basi huyo ni mwana ccm. Na wale wanoshabikia kuitukana ccm basi wao ndiyo watanzania. tunaipeleka wapi hii nchi?
UKAWA isiporudi bungeni jumatano basi nitaamini kile nilichoambiwa na mtu mmoja kuwa UKAWA ndiyo chanzo cha kifo cha chadema. Sababu alizotoa ni kwamba chadema wasipoingia bungeni, ngo inayo walipa kila mwana ukawa shilingi za kitanzania 450,000/= zinazotolewa na ngo fulani inayoitwa Konrad-Adenauer-Stiftungkwa kifupi KAS itafungiwa kufanya shughuli zake hapa nchini kwa kusababisha mgogoro wa kidiplomasia na kwenda kinyume na sheria za nchi. Kisha itakua vigumu kuwalipa wana ukawa na hivyo baadhi yao kulazimika kurudi bungeni ili waambulie angalao kidogo kuliko kukosa kabisa, kitu ambacho kitazua mgogoro ndani ya vyama hasa chama chenye wabunge wengi wa bara ambacho ni chadema. Kwanini siyo CUF maana ina wabunge wengi kwa nchi nzima zaidi ya chadema? anajibu kuwa Zanzibar ajenda yao iko wazi ni serikali ya mkataba na si serikali tatu na hivyo hawatakua na cha kupoteza.
Tujihadhari kabla ya shari. chadema muwe mnasikiliza mashauri siyo kujisukumiza tu kama wote ni kina sugu, lisu na lema.
Siku zote ukweli hauwezi kufanana kwa kila kitu! Ikitokea ukweli umefanana kwa kila kitu hapo ujue kuna tatizo kubwa! Ni kweli 1+1 inaweza kuwa 2 lakini ukweli huo hauishii hapo tu. Ukiwa makini zaidi utagudua ukweli tofauti na wa kwanza ambao nao pia ni ukweli! Kwa mfano 1 na 1 ni sawa na 1 mbili na sio 2. Mfano mwingine ni aliowahi kuusema Mwl Nyerere aliposema " Ukiniambia 2 na 3 ni ngapi nikakujibu ni 5 usiseme nimekosea endapo wewe utakuwa unajua ni 6. Inawezekana wewe ulimaanisha 2x3 wakati mimi namaanisha 2+3." HUU NI MFANO WA UKWELI UNAOTOFAUTIANA KIMANTIKI. Kama wote mna akili nzuri, UKWELI WENU HAUWEZI KUFANANA!
Mkuu nakubaliana na wewe 1000%Mpwa nimeshakwambia hawawezi kukujibu kitu cha maana hapa, yaani wote kama walivyokuwa wezi basi akili zao zote ziko hivyo hivyo
Mkuu Petro E. Mselewa, nakubaliana na wewe kabisa kwa asilimia zote kwamba una haki ya kujibu hoja zinazojitokeza. Umefanya vizuri mkuu, ila nilikuwa naweka utani tu kidogo mkuu maana ulinichekesha ulivyomwambia Chabruma aachie na wengine wachangie!!Mkuu Job K,mwenye mada ana haki ya kujibu hoja zinazoibuliwa na wachangiaji. Mimi si kama wengine wanaoweka mada halafu wanakimbia. I defend my topic....it is my absolute right