CCM kukata rufaa Ubunge Igunga...

hakuna njia ya kuonyesha kuwa wanapambana na cdm zaidi ya rufaa,kwani nje ya hapo hawawezi fua dafu kwa njia yeyote ile hata tiss na nyingine walizozoea kuwasaidia kinyume na sheria na maadili ya uchaguzi!
:flypig::flypig::flypig::flypig:
 
ground zipi za kukata rufaa kwa hili la Igunga?
kuhonga mahindi? waziri kutoa kauli za vitisho kuwa daraja halitajengwa wasipoichagua CCM?kufanya kampeni na bastola kiunoni?kudanganya umma kuwa mgombea wa chadema kajitoa katika kinyanganyiro?
sina chama ila kwa hili CCM mmnechemka mnapoteza muda kuogopa aibu ya kubwagwa kwa kishindo na chadema. haki ya mtu haipotei ila inacheleweshwa.wewe mwanasheria au shabiki wa CCM kufuata upepo?

 
Wanasheria hawawezi achia hela ya wazi hata kama wanajua kuwa huwezi kushinda. Let them appela. kwa mwenendo wa kesi, sidhani kama kweli watatoka. Advocates kuleni hele ye bure hiyo!

Labda waombe Mungu huyu prof Safari asiwepo, huyu jamaa walivyomuudhi kwa kuuza nyumba za serikali,sijui labda watangaze wanaenda wapora watu.Huyu jamaa ana misimamo na huwa hufanya kile akiaminicho kuwa haki,na mtulivu, sidhnai kama wanasheria wa voda fasta watasimama naye.A good thing jamaa yupo very calm na friendly.Sati wa ijui kwa nini CDM wakiweka hazima ya cream ya sheria CCM walikuwa wapi?Uchumi napo ndio hivyo, political science hivyo, ..km vile palikuwa na kapu halafu wakati wa kuchagua.wakawa wamefungwa mikono halafu CDM wanachaguwa wa kwanza,ndio CCM wakafuatia. Wasomi katika safu ya CCM ni hotuba ya msigwa, karibu wote.
 
WanaJF.katika hukumu ya kupinga ushindi wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la igunga.msemaji wa chama cha mapinduzi mh.nape amekuwa akisema kwamba hukumu haikuwatendea haki bila ya kuonyesha vipengele vilivyokiukwa.hivyo tunamwomba atajesehemu ambazo hawakutendewa haki kwa sisi ambao hatuna upeo wa sheria tuweze kumwelewa vizuri.nape tunakuomba ufanyehivyo.
 
Magamba wameshindwa kutambua kuwa hawana pointi za kuwapa ushindi kwenye hii rufaa, waacheni waliwe maana wajinga ndio waliwao.
:baby::baby::baby::baby:
 
Watamchagua jaji aina ya aliowataja Tundu Lisu asikilize hiyo rufaa, sababu jaji huyo kuandika hukumu peke yake anatumia zaidi ya muda wa miaka 3. kwa mbimu hiyo watakuwa wamefanikiwa kuizuia cdm kutwaa jimbo hilo kwa kipindi kilichobaki kufikia 2015
 
Ni ukweli usiopingika kuwa hata wakikata rufaa hawatashinda,Lengo ni kuchelewesha uchaguzi wa Igunga.
 
Du mpaka mahakama ccm na wao haiwatendei haki?
 
Hivi sheria ya uchaguzi inasemaje? Kama Ccm walipatikana na shutuma za rushwa, kwanini Mh Jaji hakuifungia Ccm kushiriki uchaguzi Igunga kwa kipindi cha miaka mitano?
 
Yule mzinzi nadhani hajafurahiswa na umuzi wa Nape wa kukata rufaa si kwa sababu anajua kwamba hawatashinda bali ni chance ya kurudi kwenye koloni lake kule Igunga. Nape vipi bwana kumchelewesha mwenzio!
 
Kwa grounds zilizoorodheshwa na jaji zenye ushahidi wa dhahiri kabisa hivi kweli mtu mwenye akili unaweza kupoteza muda wa kudiriki hata kukata rufaa!!!!!!!!!!!!! Ama kweli duniani kuna mambo.
 

chama cha mapinduzi wakata rufaa kupinga hukumu ya kutengua ubunge wa dr Kafumu
hawajaridhishwa na hukumu ya jana.
je tutafika?
source michuzi

CCM wameshaanza kuexperience upinzani sasa maana mwaka 2015 kesi za CCM zitakuwa nyingi sana za kupinga matokea
 

ya Arusha huyajui ww acha kukurupuka!
ndio nyinyi akili zenu ziko kwenye utumbo mpana jirani na ule 'mlango' wa kutokea/kutolea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…