CCM kujitoa kwenye uchaguzi

Huko waliko wanajuta sana kulikata jina la lowassa watakuwa wanajiuliza ivi tulianzaje? sometime kila mtu atakuwa anamlaumu mwenzake.
 
 
Uzi wako hausadikiki!! CCM haina
sababu ya kujitoa kwenye uchaguzi
mkuu. CCM bado ni chama dola; hata
kama UKAWA watashinda Urais
baada ya uchaguzi wa Oktoba
25/2015, bado CCM haitafutika;
kitageuka tu na kuwa chama cha
upinzani, maana ndicho chama
kitakachokuwa na wabunge wa
kutosha kuunda upinzani, hata kama
hakitakuwa na ushindi wa kuunda
serikali. Tusijipe matumaini ya kuzidi
kiasi (Realistic); tuache akiba ya
mambo kutokea tusivyotarajia
(Optimistic).
 
Team Lowassa kwa propaganda imefuzu vya kutosha.!
 
Kwa anayejua kuchora tunaomba utuchoree katuni moja matata inayoonyesha mafuriko yamewafika shingoni ccm vinaonekana vichwa tu ndio vinavyoibuka kutoka kwenye dimbwi la mafuriko.
 


Mkuu usifanye mchezo kukata roho lazima wakukuruke
 

Jamani huku ni kujitoa ufaham au?? Huyu jamaa ameshasahau yule mwanamapinduzi Mwangosi. Hakumbuki ni bomu la machozi tena moja tuu, Haya shauri lake, baadaye mnailaumu policcm. Yaani wote pale vidole vilitaka kufytua tuuuuu akomeshwe
 
nyie wachumia tumbo hamjui hali ilivyo mbaya lumumba .

Mkuu mie nawaangalia hawa wanaobishia habari hii nawaonea huruma. Hivi wanajua tafaruku iliyo huko ccm? Ona Leo kwa kuchanganyikiwa mpaka wanazuia Lowasa asihudhurie mazishi eti watu ni wengi sii kichaa hicho? Sasa nasikia wanalaumiana eti nani kasema azuiwe?
Hofu yangu ni kwa Pombe aka Baba Fanuel, unajua hawa ccm hasa katika hali ya kukosa madaraka sio wema kabisa waweza mfanya jambo lolote baya huyu jamaa ili mradi wapewe muda na tume wajipange upya kupata mwingine.
Na kukosa furaha kwa Pombe ni kuwa hilo analijua laweza kutokea ndani ya chama chake. Kuna siku tusijeshangaa kusikia jamaa kalala mbele yuko Kisumu kwa jamaa take Omolo
 
hua mnapewa viroba vingapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…