Mm nilidhani anasema ukawa imesusia, ccm haiwezi hata siku moja, mipango yao iko poa kabisa, unajua UKAWA wana kihelehelesana na do maana hata kwenye serikali za mitaa walipiga kelele sana, baada ya hapo walikuwa wanaongeza 17% ili kufika 20%, hata uchaguzi ulopita walipiga kelele sana kumbe ndo chadema walifikisha wabunge 27.
Hiyo ni hali ya kawaida kwenye hizi taasisi ndogo ndogo tena za watu binafsi, tena ukichanganya wabunge wote hata robo ya ccm hawafiki, huwezi kuwa na wabunge 31 UKAWA alafu mnatafuta wabunge 102 kwa wakati mmoja, basi tukubaliane kwamba ccm haipo ila ipo ACT na UKAWA. Ni wajings2 ndo wanaoamini kwamba kuna muujiza kama huo. Mimi naamini wataongeza wabunge angalau wafike 50.
Lakini sishangai sana kwani hata Mwl. Nyerere alishawaasa wapinzani tena kwa lugha nzuri sana, kwamba watafute nafasi za udiwani na ubunge ili wananchi waone kazi zao, atimaye wawaamini, ss bado hawajaaminiwa na wenye nchi. Manake inaonekana urais ni kama nafasi ya mtendaji wa kata vile, ndo maana bado watu hawana imani nao kabisa. ccm haitatokea hata siku moja eti aingie mtu kama Dr. Slaa ns apewe nafasi kubwa kabisa ya kugombea urais, kienyeji hivo, ni vigumu sana watu kuamini hilo, alafu tena mtu mwenyewe wao ndo walisababisha aachie uwaziri mkuu wake kwa sababu ya ufidadi na kumtukana sana tz nzima na walisema kuwa ushahidi wanao, leo wanasema mwenye ushahidi aende mahakamani, ni wajinga2 ndo wanaoweza kuwaamini.