MORE2015
Senior Member
- Jul 31, 2015
- 179
- 67
Kama ushindi unatokana na kuwa na mabango mengi basi ccm tayaria wameshinda. Maaana kila kona tangazo. Chama kimekaa madaraki miaka yote hiyo lakini kinajitangaza kama chama kipya. Tangazo Moja tuu la lowassa linameza matangazo 100 ya magufuli.
Hii inaonyesha wazi kabisa kuwa magufuli hakubaliki na chama kimepoteza dira.
Hii inaonyesha wazi kabisa kuwa magufuli hakubaliki na chama kimepoteza dira.