Watanzania ndio tumepoa....hatubebeki.Kuishabikia ccm ni laana mbaya sana mkuu
Lakin hata chadema nayo haijatulia kwa kifupi inatakiwa tuwe na upinzan kama wa uganda au msumbiji siyo huu wa kwetu umepoa sana
Sio kweli acha kupotosha jamiiKwa wenye akili timamu na kuwa na dhamira ya kweli katika nafsi zao wataliona hili na kukubaliana na mimi.
(1) CCM ni chama hapo awali kilisaidia ukombozi wa Bara la Africa na Kuwa kimbilio la wanyonge wengi Duniani kwamfano walisadia Taifa China kupata ujumbe wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa , pia imekuwa kwa muda wote wakiunga mkono Jitahada za Taifa la Palestine zidi ya uonevu wa Israel. Lakini sasa mambo yamegeuka , Palestina imewekwa kando na kukumbatiwa Israel , pia China tunaipotezea kwa mbali na kuishi nayo kinafki tu.
(2) CCM Tulilaani vikali ubaguzi wa rangi Pia tuliunga mkono ANC katika mapambano zidi Makaburu wa Afrika kusini lakini leo hii CCM imegeuka kuwa Makaburu wa Tanzania wakiwashughulikia vikali kila anayewapinga kwa nguvu zote.
Ukitaka kuwa adui wataifa la Tanzania Leo hii basi jaribu kuishauri au kuikosoa CCM na Serikali yake , kwa hakika cha moto na mtemakuni itakiona.
CCM sasa imeaamua kubadilika kuwa chama cha Kibaguzi , Uonevu na ubinafsi uliopitiliza kwa hakika hivi sasa CCM kimeamua kuiangamiza Taifa letu taratibu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA !
Jisemee mwenyewe na usiwajumlishe Watanzania wote.Sema ukweli wako. ..! Acha kuona Watanzania wajinga
Safi sana mkuuWajanja wajinga wenye fikra mgando ! Tatizo siyo kuwa ccm au cuf bali ni kuwa na fikra sahihi zidi ya Nchi yako. Acha mawazo mgando
usipende sana kuwatukana mama wa wenzio, humu kila mtu ana mawazo na uelewa wake, siku humu mtu alikuwa anauza simu yake ukamwambie akamuuzie mama yake leo tena unamwambia mtu mwingine amwambie mama yake aanzishe chama, binadamu sisi tumeumbiwa busara na hekima, jitahid kuuficha upumbavu wako japo kidogo, kama mama yako amekufa usimalizie hasira kwa mama wa wenzako pumbavu kabisaMwambie mama yako aanzishe chama
Sasa nin mbadara wa ccm?Kwa wenye akili timamu na kuwa na dhamira ya kweli katika nafsi zao wataliona hili na kukubaliana na mimi.
(1) CCM ni chama hapo awali kilisaidia ukombozi wa Bara la Africa na Kuwa kimbilio la wanyonge wengi Duniani kwamfano walisadia Taifa China kupata ujumbe wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa , pia imekuwa kwa muda wote wakiunga mkono Jitahada za Taifa la Palestine zidi ya uonevu wa Israel. Lakini sasa mambo yamegeuka , Palestina imewekwa kando na kukumbatiwa Israel , pia China tunaipotezea kwa mbali na kuishi nayo kinafki tu.
(2) CCM Tulilaani vikali ubaguzi wa rangi Pia tuliunga mkono ANC katika mapambano zidi Makaburu wa Afrika kusini lakini leo hii CCM imegeuka kuwa Makaburu wa Tanzania wakiwashughulikia vikali kila anayewapinga kwa nguvu zote.
Ukitaka kuwa adui wataifa la Tanzania Leo hii basi jaribu kuishauri au kuikosoa CCM na Serikali yake , kwa hakika cha moto na mtemakuni itakiona.
CCM sasa imeaamua kubadilika kuwa chama cha Kibaguzi , Uonevu na ubinafsi uliopitiliza kwa hakika hivi sasa CCM kimeamua kuiangamiza Taifa letu taratibu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA !
Haya ni matusi. Hivi mama yako siyo mwanamke? Acha jazba ili uandike kwa uzuri zaidi.Mbona unafikira za kike?
PointKuishabikia ccm ni laana mbaya sana mkuu
Lakin hata chadema nayo haijatulia kwa kifupi inatakiwa tuwe na upinzan kama wa uganda au msumbiji siyo huu wa kwetu umepoa sana
Kwa wenye akili timamu na kuwa na dhamira ya kweli katika nafsi zao wataliona hili na kukubaliana na mimi.
(1) CCM ni chama hapo awali kilisaidia ukombozi wa Bara la Africa na Kuwa kimbilio la wanyonge wengi Duniani kwamfano walisadia Taifa China kupata ujumbe wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa , pia imekuwa kwa muda wote wakiunga mkono Jitahada za Taifa la Palestine zidi ya uonevu wa Israel. Lakini sasa mambo yamegeuka , Palestina imewekwa kando na kukumbatiwa Israel , pia China tunaipotezea kwa mbali na kuishi nayo kinafki tu.
(2) CCM Tulilaani vikali ubaguzi wa rangi Pia tuliunga mkono ANC katika mapambano zidi Makaburu wa Afrika kusini lakini leo hii CCM imegeuka kuwa Makaburu wa Tanzania wakiwashughulikia vikali kila anayewapinga kwa nguvu zote.
Ukitaka kuwa adui wataifa la Tanzania Leo hii basi jaribu kuishauri au kuikosoa CCM na Serikali yake , kwa hakika cha moto na mtemakuni itakiona.
CCM sasa imeaamua kubadilika kuwa chama cha Kibaguzi , Uonevu na ubinafsi uliopitiliza kwa hakika hivi sasa CCM kimeamua kuiangamiza Taifa letu taratibu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA !
Wajanja na mayanki wanakimbilia ccm, we baki huko na akina safari baregu na lowasa.
Sadaktaaa ....!wanaoshabikia ccm hawako tofauti na wale waliokuwa wakibeba magauni na suruali zao wakimuona Mugabe nishujaa.Miaka imeenda baadae wanajeshi waliokuwa wakiwasulubu wapinzani leo njaa zimewakamata wamegundua Taifa linaaanguka wakaingia kwa mtutu kumzuia urais asiendelee nao.Akina Nape,Polepole,na Akina Bashe wanajitapa na kuwaaambia wanachadema wapigwe kwa kuwa vipigo hivyo haviwafikii ndugu zao na nikupitia ccm bado wanaendelea kupata keki ya taifa ambayo ndio msingi wao wakuiona ccm ni nzuri huku kimantki wakitambua kuwa ccm imefeli