Col FEN
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 327
- 460
Kwa wenye akili timamu na kuwa na dhamira ya kweli katika nafsi zao wataliona hili na kukubaliana na mimi.
(1) CCM ni chama hapo awali kilisaidia ukombozi wa Bara la Africa na Kuwa kimbilio la wanyonge wengi Duniani kwamfano walisadia Taifa China kupata ujumbe wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa , pia imekuwa kwa muda wote wakiunga mkono Jitahada za Taifa la Palestine zidi ya uonevu wa Israel. Lakini sasa mambo yamegeuka , Palestina imewekwa kando na kukumbatiwa Israel , pia China tunaipotezea kwa mbali na kuishi nayo kinafki tu.
(2) CCM Tulilaani vikali ubaguzi wa rangi Pia tuliunga mkono ANC katika mapambano zidi Makaburu wa Afrika kusini lakini leo hii CCM imegeuka kuwa Makaburu wa Tanzania wakiwashughulikia vikali kila anayewapinga kwa nguvu zote.
Ukitaka kuwa adui wataifa la Tanzania Leo hii basi jaribu kuishauri au kuikosoa CCM na Serikali yake , kwa hakika cha moto na mtemakuni itakiona.
CCM sasa imeaamua kubadilika kuwa chama cha Kibaguzi , Uonevu na ubinafsi uliopitiliza kwa hakika hivi sasa CCM kimeamua kuiangamiza Taifa letu taratibu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA !