PostGE2025 CCM Kilimanjaro: Hotuba ya Rais Samia Kwa Wazee Imejaa Matumaini na Uzalendo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Kutuchamba kwote kule hadi kushika kiuno ndio matumaini yenyewe nini bwana Tibwa?
==============
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, kimesema Hotuba ya Rais Samia Kwa Wazee Imejaa Matumaini na Uzalendo huku kikitoa wito kwa viongozi kukemea vitendo vya uvunjifu wa amani, vinavyochochewa na baadhi ya watu kwenye maeneo mbalimbali na mitandao ya kijamii kwa kuwa amani ya Tanzania italindwa na watanzania wenyewe.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Disemba 5,2025 Katibu Siasa Uenezi na mafunzo, Mkoa wa Kilimanjaro, Abraham Urio, amesema amani ya nchi inatakiwa kulindwa na kila mtu, kwa maslahi mapana ya Taifa.
 
Uchawa uchawa tu mpaka kwenye mambo ya kijinga.
 
Wazee na watoto ndiyo saizi yenu. Jaaribuni huo ujinga kwa GenZ mtapigwa mawe
 
Kutuchamba kwote kule hadi kushika kiuno ndio matumaini yenyewe nini bwana Tibwa?
==============
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, kimesema Hotuba ya Rais Samia Kwa Wazee Imejaa Matumaini na Uzalendo huku kikitoa wito kwa viongozi kukemea vitendo vya uvunjifu wa amani, vinavyochochewa na baadhi ya watu kwenye maeneo mbalimbali na mitandao ya kijamii kwa kuwa amani ya Tanzania italindwa na watanzania wenyewe.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Disemba 5,2025 Katibu Siasa Uenezi na mafunzo, Mkoa wa Kilimanjaro, Abraham Urio, amesema amani ya nchi inatakiwa kulindwa na kila mtu, kwa maslahi mapana ya Taifa.
Faki the mazafakas!
 
lucas mwashamba una zidi kuzungushana sasa utasikia mkoa wa mwanza
 
Back
Top Bottom