Uchaguzi 2020 CCM itashinda kwa kishindo kikubwa sana Arusha Mjini

Wala siyo Arusha Mjini peke yake ambako CCM itashinda kwa kishindo. Ni nchi nzima. Hongera CCM kwa maigizo haya.
 
Wala siyo Arusha Mjini peke yake ambako CCM itashinda kwa kishindo. Ni nchi nzima. Hongera CCM kwa maigizo haya.
Haya sio maigizo mkuu, ni real, wananchi wameamua. Usidanganyike na porojo za mitandaoni, wachache Sana wapiga kura wa mitandaoni. KWA kifupi wapinzani walijisahau na kuyatelekeza majimbo yao, walidharau dhamana walizopewa na wananchi, mahali Kama Arusha wananchi hawavumiliagi 'mazreu'
 
Siyo kudanganyika, kwani mm ni kipofu?
 

Acha uzandiki mkuu. Unajifanya kusahau kuwa mkuu wa nchi na mwenyekiti wa CCM ameeleza kilichowakuta wananchi waliochagua wabunge wa upinzani?? Unasahau hata mikutano ya kujenga vyama vyao walizuiliwa huku Rais akifanya mikutano ya hybrid (serikali na chama kwa wakati mmoja)? Unasahau wabunge na madiwani kujitoa kwa vipande vya fedha na kuhamia upande mwingine kisha uchaguzi kurudiwa na wakashibda lakini hali za wananchi wao ziko vile vile kama walivokuwa upinzani??

Watu wa aina yako ndio tatizo la nchi hii. Utakujikuta na hali hii hii ya unyonge hata ikifika 2025. Huna uwezo wa kuchambua jambo, hata kumbukumbu pia utasingizia ukujaliwa na Mungu??
 
mimi au wewe ndo unaota ndoto za mchana??
Kwa matokeo ya baadhi ya vituo, Gambo atashinda kwa uwiano wa 2:1 hadi 3:1, hata wanachama na wafuasi wa CHADEMA hawamtaki LEMA. msela huku tunamuita ChiziFresh hajawaji kutetea jimbo bungeni, hajawahi kuchangia mada bungeni iwe ya bajeti au sheria. Yyeye ni kuhamasisha watu wakomae na kuwa wajasiri kwenye maandamano na migomo wakati yeye anakula bata na familia yake. Arusha hatutaki tena tuwakilishwe na chizi au msela
 
Na mawakala wao wenyewe wanakiri CHADEMA imeshindwa kihalali kabisa. CCM inashinda KWA kimbunga Arusha mjini
 
Kati ya kata 25 ni moja tu imeenda upinzani, 24 zote zimeenda CCM. Gambo atashinda kwa kishindo Arush tuendelee kuwa wapole na tusubiri matokeo rasmi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…