CCM itaondolewa lakini...

BRN=Better Resign Now...Mngekuwa na uhakika wa kubakia madarakani, msingekuwa na hiyo mikakati yenu ya Ngurdoto, Zenj, Mtwara n.k.Subirini 25 Oct muone Peoples' Power inavyodhihirisha ubora wake
 


Lowasa ana nini kibaya mbona mtu akiwa ccm ndo ana uwezo Wa kuongoza??

In short ccm haitakiwi no matter what bora itoke watu wajipange huko huko mbele kwa mbele
 
October 25 sio mbali na kura ndio zitakazo ongea na hao unaowasifia sijui watapita wapi kwasababu kila njia wanayo taka kupita wanakuta tayari ukawa walisha ijua.
 


Hahahaaa! mbona huko kwa magamba munahaha kuwapoza watu wasiwakimbie!
 

CCM lazima ing'oke tu mwaka huu, hakuna jinsi
 
Oct 25 mkapge kula uli msihaibke kutoka madarakan manake lowassss ninamwelewa san kuliko magufr. Misuko sko iko mahar popote ht majumban tunapoishi.
Maskini! Unaelewe hata wewe mwenyewe ulichoandika hapa?
 
Wakati wa kuzaliwa ukifika haijalishi utungu umeanzia nyumbani au wapi.

Tanzania imeshashikwa na utungu wa kuiondoa ccm haijalishi wapinzani wamejipanga au la mwaka ccm inatoka tu. Hizo propaganda zingine warudishie waliokutuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…