wakati wa wokovu ni sasa
Kiukweli UKAWA haijajipanga kuchukua nchi,kuanzia mfumo wao wa majimbo maana mpaka sasa wana mgogoro wa majimbo kati ya CUF,CHADEMA,NCCR
Naziona Siasa za Madaraka(Political for Power) katika Ukawa,kila chama kinataka kisimamishe mgombea wao na kusahau kama wameungana,siku njema huonekana asubuhi hii hali walioanza nayo ukawa ndiyo itakavyokuwa mbele ya safari endapo watafanikiwa kuchukua nchi(Ahahaaaaaaa)
Tunataka Siasa za maendeleo na sio siasa za Utawala na kuigawana Tanzania utafikiri haina wenyewe
Mie sifahamu hawa UKAWA Wana akili gani; does it make sense that you really want to bring changes via CCM Comrades? Same wife in a different bottle?
CCM itaondolewa madarakani lakini sio mwaka huu, wala sio na UKAWA kupitia Lowasa wala Sumaye.
Itaondelewa tu muda ukifika, wapinzani wa kweli wakijipanga upya, na kudhamiria kuiondoa CCM kweli kweli.
Wapinzani wa kweli wanaweza toka ndani ya CHADEMA, au CUF au chama kingine imara.
UKAWA kwa sasa wenyewe hawajui inaongozwa na nani... ndo maana ameachiwa mzee mamvi apigane kufa kupona, lakini safari ya Ikulu hiyo mhhh... kila la heri lakini.
Ni maoni yangu tu, uko huru kuwa kinyume na mtazamo huu, huna sababu ya kunitusi.
Huwezi kukitoa chama kilichoko madarakani hadi chama hicho kigawanyike. Nigeria, Zambia na kote kule ambako chama tawala kimeondolewa ni baada ya viongozi maarufu waliokuwa vyama hivyo kuhamia upinzani, Watu kama akina Obasanjo wamehamia upinzani ndipo mageuzi yakapatikana,Mie sifahamu hawa UKAWA Wana akili gani; does it make sense that you really want to bring changes via CCM Comrades? Same wife in a different bottle?
Mie sifahamu hawa UKAWA Wana akili gani; does it make sense that you really want to bring changes via CCM Comrades? Same wife in a different bottle?
Unashangaa mgogoro ukawa,ila hushangai Job Ndugai alivyomtandika mtu stick za kichwa.
Kama umemsikia mbowe alivyoongea leo, hakuna kitu ukawa tena.Kiukweli UKAWA haijajipanga kuchukua nchi,kuanzia mfumo wao wa majimbo maana mpaka sasa wana mgogoro wa majimbo kati ya CUF,CHADEMA,NCCR