Samwel Magoiga
Member
- Feb 12, 2011
- 6
- 2
Magoiga S.N-Mwanza
Ilianza kama mchezo, yaani kama hadithi vile ila mwisho wake kila mtu anaanza kujua mbivu na mbichi. CCM itakufa Mwaka 2020 kwa sababu nyingi sana baadhi yake ni hizi
i) Sauti za upinzani zilisikika zikisema kuwa kwa kumpa Fisadi Lowassa Urais, CCM inakufa mwaka huu wa 2015. CCM inaruhusu vipi Lowasa achukue fomu?? Atakayemchagua Lowasa akapimwe akili. Hii ikiyokuwa safari ya matumaini sasa imekuwa safari ya matumizi
ii) Magufuli naye eti kachukua fomu ya Kugombea Urais kupitia CCM

wakacheka kwa dharau huku wakisema. Hawezi kupenya mbele ya fisadi Lowasa. Wakaendelea kusema CCM wakimpa Magufuli nitawapigia kura, Magufuli anapoteza muda.
iii) CCM ni chama kilichochoka, na kinamilikiwa na wenye pesa. Lowasa ameinunua NEC, na wajumbe wote wa mkutano mkuu. Hakuna wa kumkata fisadi Lowasa.
iv) Mmiliki wa akili zote za Nyimbu akatangaza, Sisi kama Chadema hatucbukui makapi ya CCM. Lowasa ni fisadi, na chadema siyo ya mafisadi. Hawa ndiyo wapinzani wa nchi hii
v) Anakatwa... Hakatwi? Anakatwa au hakatwi. Mwisho wa Siku AKAKATWA. Aibu yao wakabaki wamevukiwa nguo. Hii ndiyo CCM niliyojiunga nayo.
vi) Mara Paaa,,,,, Magufuli ndiye mgombea kwa tiketi ya CCM. Mafisadi wenye pesa zao wakabaki kuomboleza. Hii ndiyo CCM niliyojiunga nayo.
vii) Wakaanza tena, hata uwe msafi vipi huwezi kufanya chochote ndani ya CCM. Kumpata msafi na mwenye dhamira ya kweli na watanzania ndani ya CCM ni sawa na kutafuta bikira kwenye wodi ya wazazi. Wakakubali kununukiwa na matapishi yao, wakasema kwa Lowasa kuhama CCM, basi ccM imekufa

welevu wakawauliza kwanini mnaisikitikia ccm kufa? Kwanini msifurahi!!! Hawa ndiyo wapinzani wa nchi hii
ix) Lowasa ni mtu safi, na ni safi zaidi ya Dr Slaa na kuanzia leo anahamia Chadema, na kesho anachukua Fomu ya kugombea Urais peke yake bila mpinzani. Anayepinga hicho atupishe atatukuta mbele ya safari. Safari ya Matumaini inaendelea na ole wake atakayemuita Lowasa fisadi tena, ilisikika sauti na mawazo ya Mbowe kila kona ya nchi. WIMBO wak maadufu wa Chadema mwendo mdundo ukapigwa marufuku kupigwa sehemu yoyote ktk kampeni za Chadema

Welevu tukajua Mmiliki mpya ametoa amri kuutupa chooni wimbo huo. Huu ndiyo upinzani wa nchi hii.
xi) Magufuli akasema Chagua Magufuli, Chagua CCM. Elimu bure mpaka form 4, nitaanzisha mahakama ya mafisadi, nitapunguza matumizi ya serikali, nitapunguza wizara, nitarejesha nidhamu ya kazi, nitayatumbua majipu, nitaongeza ukusanyaji wa mapato, nk akamalizia kwa kisema mchaka mchaka,,,, chinja, aliserema......
xii) Ukawa wakasema, watamrejesha barali, watamuachia huru babu seya, mwenye nyumba moja atapata 2, anayekula mlo mmoja atakula milo mitatu, wataendesha nchi kwa mchakamchaka, Elimu bure kuanzia vidudu mpaka chuo kikuu

hata marekani hawakuanza hivyo kwa siku moja. Yaani walikuwa wakiahidinkwa kutazama mabango yaliyoshikiliwa na wafuasi wao ktk mikutano. Huu ndiyo upinzani wa nchi hii.
xiii) CCM ikashinda, Magufuli akaunda serikali majipu yakaanza kutumbuliwa, nidhamu ikarejea makazini, mianya ya rushwa ikaanza kuzibwa. UKAWA wakakurupuka toka usingizini wakasema Magufuli anatekeleza ILANI yao, ukiwauliza tunaomba kitabu kilichokuwa na ilani yenu, wanaonyesha posters

. Welevu tukasema siku mkiona Magufuli amemuachia huru babu seya, na amemfufua Barali ndiyo tutaamini anatekeleza Ilani yenu maana hicho ndicho mlichoahidi. Hii ndiyo CCM niliyojiunga nayo na huu ndiyo upinzani wa nchi hii.
xv) Wakasema hawezi kufanikiwa kuleta mabadiliko ya kweli. Magufuli akaanza kuyaleta kwa kasi ya Hapa Kazi Tu na kuwa 'prove wrong'. Akafukuza wazembe, akafukuza wezi, akawasimamisha wasio na uwezo, na kupanga serikali ya Hapa Kazi Tu. Wakakosa hoja wakamuita Dicteta

huku wananchi wakimuita Mkombozi
xvi) Wakatoka bungeni wenyewe, wakaziba midomo kwa pampers/nepi. Harafu leo wanaona aibu kurejea wanajikosha kuwa wamempa masharti Ndugai ili warudi Bungeni. Watanzania wanajua, na dunia inajua.
xvii) Wakasema Magufuli ni Rais wa miaka mitano pekee. Wananchi wakawauliza sasa kwanini msifurahie maana mtapata mlichokuwa mkikitafuta?? Mara CCM inakufa, na wasipoangalia chama hiki kinaelekea kufa, Watanzani wakawauliza kwanini mnachikia CCM kufa?? Magufuli akawaambia ukiona adui yako anakusifia kijinga unapaswa kujihoji mara Mbilimbili, na ukiona anakudhihaki na kukutukana ujue umemtwanga, hivyo kaza uzi. Welevu tukamuelewa Magufuli
xviii) Mtu mmoja akalala akaamka akaitisha Kamati Kuu akawaambia kuanzia tar 1 Septemba kila Mtu Ashike UKUTA , tunapinga Udicteta
Wenye akili wakahoji sasa huu Umoja mbona hatujawashirikisha CUF, NCCR, NLD na vyama vingine!!!! Au Chadema ndiyo mpangaji na muamuzi wa mwisho ktk kila jambo wengine wanapaswa kupiga makofi na kufuata kama Nyumbu 
?? Wenye akili wakahoji huu umoja ni wa chama kipi na kipi?? Mbowe akawanibu Ole wao watakao thubutu kutoshiriki ktk kampeninya Ukuta

Eti unapinga udicteta kwa kufanya udicteta. Huu ndiyo upinzani a nchi hii.
xix) Sasa hivi wanasema CCM ikitaka isiondoke madarakani iwasikilize wapinzani wanachotaka. Kweli?? Eti adui yako anakufundisha namna ya kumshinda??

xx) CCM siyo Mungu, Ipo siku Itatoka Madarakani, na siku hiyo ni ile itakapoacha kuwatumikia watanzania. Lakini mpaka sasa nchi hii haina mbadala wa kuiondoa CCM madarakani. Wasanii hawa wa kisiasa hawawezi kuiondoa madarakani maana hata hoja hawana. CCm ya sasa ni CCM mpya kimtazamo na kiutendaji
#MY_TAKE .
.... vitabu vitakatifu binasema adui muombee maisha marefu, sasa kutabiri CCM itakufa ina maana kuwa CCM haitakufa maana hakuna kinachoweza kyiua kwa sasa...
.. siku nilipoona chama tawala ndicho kinaongoza mapambano ya kupambana na ufisadi huku upinzani wakiwa hawana la kusema ndipo nilipojua kuwa hizi tabiri za wapinzani kuwa CCM inakufa ni tabiri hewa..... CCM haiwezi kufa kabla Chadema Haijafa.
#USISHANGAE watu ku-comment bila kusoma na kutafakari kabla ya ku-comment, hizo ndizo tabia za kiNyumbu
Magoiga SN
Mwenyekiti wa Muda-CCM Tawi la Mitandaoni
Ilianza kama mchezo, yaani kama hadithi vile ila mwisho wake kila mtu anaanza kujua mbivu na mbichi. CCM itakufa Mwaka 2020 kwa sababu nyingi sana baadhi yake ni hizi
i) Sauti za upinzani zilisikika zikisema kuwa kwa kumpa Fisadi Lowassa Urais, CCM inakufa mwaka huu wa 2015. CCM inaruhusu vipi Lowasa achukue fomu?? Atakayemchagua Lowasa akapimwe akili. Hii ikiyokuwa safari ya matumaini sasa imekuwa safari ya matumizi
ii) Magufuli naye eti kachukua fomu ya Kugombea Urais kupitia CCM

wakacheka kwa dharau huku wakisema. Hawezi kupenya mbele ya fisadi Lowasa. Wakaendelea kusema CCM wakimpa Magufuli nitawapigia kura, Magufuli anapoteza muda. iii) CCM ni chama kilichochoka, na kinamilikiwa na wenye pesa. Lowasa ameinunua NEC, na wajumbe wote wa mkutano mkuu. Hakuna wa kumkata fisadi Lowasa.
iv) Mmiliki wa akili zote za Nyimbu akatangaza, Sisi kama Chadema hatucbukui makapi ya CCM. Lowasa ni fisadi, na chadema siyo ya mafisadi. Hawa ndiyo wapinzani wa nchi hii
v) Anakatwa... Hakatwi? Anakatwa au hakatwi. Mwisho wa Siku AKAKATWA. Aibu yao wakabaki wamevukiwa nguo. Hii ndiyo CCM niliyojiunga nayo.
vi) Mara Paaa,,,,, Magufuli ndiye mgombea kwa tiketi ya CCM. Mafisadi wenye pesa zao wakabaki kuomboleza. Hii ndiyo CCM niliyojiunga nayo.
vii) Wakaanza tena, hata uwe msafi vipi huwezi kufanya chochote ndani ya CCM. Kumpata msafi na mwenye dhamira ya kweli na watanzania ndani ya CCM ni sawa na kutafuta bikira kwenye wodi ya wazazi. Wakakubali kununukiwa na matapishi yao, wakasema kwa Lowasa kuhama CCM, basi ccM imekufa

welevu wakawauliza kwanini mnaisikitikia ccm kufa? Kwanini msifurahi!!! Hawa ndiyo wapinzani wa nchi hii ix) Lowasa ni mtu safi, na ni safi zaidi ya Dr Slaa na kuanzia leo anahamia Chadema, na kesho anachukua Fomu ya kugombea Urais peke yake bila mpinzani. Anayepinga hicho atupishe atatukuta mbele ya safari. Safari ya Matumaini inaendelea na ole wake atakayemuita Lowasa fisadi tena, ilisikika sauti na mawazo ya Mbowe kila kona ya nchi. WIMBO wak maadufu wa Chadema mwendo mdundo ukapigwa marufuku kupigwa sehemu yoyote ktk kampeni za Chadema

Welevu tukajua Mmiliki mpya ametoa amri kuutupa chooni wimbo huo. Huu ndiyo upinzani wa nchi hii. xi) Magufuli akasema Chagua Magufuli, Chagua CCM. Elimu bure mpaka form 4, nitaanzisha mahakama ya mafisadi, nitapunguza matumizi ya serikali, nitapunguza wizara, nitarejesha nidhamu ya kazi, nitayatumbua majipu, nitaongeza ukusanyaji wa mapato, nk akamalizia kwa kisema mchaka mchaka,,,, chinja, aliserema......
xii) Ukawa wakasema, watamrejesha barali, watamuachia huru babu seya, mwenye nyumba moja atapata 2, anayekula mlo mmoja atakula milo mitatu, wataendesha nchi kwa mchakamchaka, Elimu bure kuanzia vidudu mpaka chuo kikuu

hata marekani hawakuanza hivyo kwa siku moja. Yaani walikuwa wakiahidinkwa kutazama mabango yaliyoshikiliwa na wafuasi wao ktk mikutano. Huu ndiyo upinzani wa nchi hii. xiii) CCM ikashinda, Magufuli akaunda serikali majipu yakaanza kutumbuliwa, nidhamu ikarejea makazini, mianya ya rushwa ikaanza kuzibwa. UKAWA wakakurupuka toka usingizini wakasema Magufuli anatekeleza ILANI yao, ukiwauliza tunaomba kitabu kilichokuwa na ilani yenu, wanaonyesha posters

. Welevu tukasema siku mkiona Magufuli amemuachia huru babu seya, na amemfufua Barali ndiyo tutaamini anatekeleza Ilani yenu maana hicho ndicho mlichoahidi. Hii ndiyo CCM niliyojiunga nayo na huu ndiyo upinzani wa nchi hii. xv) Wakasema hawezi kufanikiwa kuleta mabadiliko ya kweli. Magufuli akaanza kuyaleta kwa kasi ya Hapa Kazi Tu na kuwa 'prove wrong'. Akafukuza wazembe, akafukuza wezi, akawasimamisha wasio na uwezo, na kupanga serikali ya Hapa Kazi Tu. Wakakosa hoja wakamuita Dicteta

huku wananchi wakimuita Mkombozixvi) Wakatoka bungeni wenyewe, wakaziba midomo kwa pampers/nepi. Harafu leo wanaona aibu kurejea wanajikosha kuwa wamempa masharti Ndugai ili warudi Bungeni. Watanzania wanajua, na dunia inajua.
xvii) Wakasema Magufuli ni Rais wa miaka mitano pekee. Wananchi wakawauliza sasa kwanini msifurahie maana mtapata mlichokuwa mkikitafuta?? Mara CCM inakufa, na wasipoangalia chama hiki kinaelekea kufa, Watanzani wakawauliza kwanini mnachikia CCM kufa?? Magufuli akawaambia ukiona adui yako anakusifia kijinga unapaswa kujihoji mara Mbilimbili, na ukiona anakudhihaki na kukutukana ujue umemtwanga, hivyo kaza uzi. Welevu tukamuelewa Magufuli
xviii) Mtu mmoja akalala akaamka akaitisha Kamati Kuu akawaambia kuanzia tar 1 Septemba kila Mtu Ashike UKUTA , tunapinga Udicteta

Wenye akili wakahoji sasa huu Umoja mbona hatujawashirikisha CUF, NCCR, NLD na vyama vingine!!!! Au Chadema ndiyo mpangaji na muamuzi wa mwisho ktk kila jambo wengine wanapaswa kupiga makofi na kufuata kama Nyumbu 
?? Wenye akili wakahoji huu umoja ni wa chama kipi na kipi?? Mbowe akawanibu Ole wao watakao thubutu kutoshiriki ktk kampeninya Ukuta

Eti unapinga udicteta kwa kufanya udicteta. Huu ndiyo upinzani a nchi hii. xix) Sasa hivi wanasema CCM ikitaka isiondoke madarakani iwasikilize wapinzani wanachotaka. Kweli?? Eti adui yako anakufundisha namna ya kumshinda??