Kiboko.
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 2,896
- 1,214
Habari za mchana wanabodi,
Nipende kutoa angalizo kwa chama tawala, kwa haya yanayoendelea kwenye chaguzi zao za kura ya maoni kupata wabunge, wawakilishi na madiwani.
RUSHWA imekuwa ndo kigezo cha mtia nia kupata kura za wajumbe. Mfano hai jimboni Ukerewe mkoa wa Mwanza, kuna mtia nia anaitwa Dkt Switbert Mkama aliewahi kuwa naibu katibu mkuu na mkurugenzi wa fedha na mipango, anatoa rushwa nje nje na hakuna hatua yoyote anachukuliwa.
Mkama amewanunua viongozi wa CCM wilaya kuanzia mwenyekiti, katibu mpka ngazi za chini kabsa, hii inamfanya afanye chochote anachotaka pasna kuchukuliwa hatua yoyote.
Jimbo la Ukerewe ni miongoni mwa majimbo machache ndani ya mkoa wa Mwanza ambayo ndani ya miaka 30 toka kuanzishwa chaguzi za vyama vingi limeshatoka Mbunge toka upinzani kwa vipindi viwili, yaan 2010 na 2015.
Nitoe rai kwa CCM, kutuma ujumbe maalumu kuhakiki zoezi zima la kura za maoni nchi nzima ili kujihakikishia kabla ya kwenda kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika hapo baadae mwezi wa kumi.
Asante.