Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,883
Hivi haya mamikataba ya kijinga si hawa ndo waliingia na sera ya uwekezaji wakadai unatija sass wanaachwaje kwenye sakata hii.
Kwanini wasijibu utata hui na walikula kiasi gani kuwapitisha hawa makaburu?
Mkapa si alipewa jiwe la dhahabu alipeleka wapi na alipewa la nini?
Mwanasheria mkuu wa werikali Chenge na Werema wanaachwa kwa nini?
Mawaziri wa madini nao vipi?
Je utamshitak waziri mkuu na umwache mwenyekiti wa baraza la mawaziri?