Nimekuwa nikifatilia ukarimu WA CHAMA tawala na niwapongeze KWA juhudi wanazoonyesha kipindi hiki CHA kampeni KWA kuwasaidia WATU kwenye kampeni......
Ila pasipo na Shaka ukarimu huu ungeonywesha katika uongoz wao LEO wananchi wasingeitaji MABADILIKO.....Ila KWA HAPA NI waz HUU NI USANII na uwongo WA hali YA juu