Mkuu kama upo wakati wa kutamba kwa CCM ndani ya Vyama vingi ni wakati wa "Hapa Kazi tu!"Vivuli hatari kwa Maccm ni cha Seif,Lowassa na Freeman,Hawa ni watu wamewageuza Ccm kuwa watumwa ndani ya nchi yao.Huku wausika wakiendelea kula raha
Siasa za zanzibar zimekuwa ni mzigo kwa Tanganyika
CCM ipi ya kumwogopa mgombea Urais wa kudumu wa CUF?
sema LOWASSA na wamlambao miguu maana wote aliwanunua ili habari zake za ufisadi zifutike kabisa masikioni mwa Watanzania.Vivuli hatari kwa Maccm ni cha Seif,Lowassa na Freeman,Hawa ni watu wamewageuza Ccm kuwa watumwa ndani ya nchi yao.Huku wausika wakiendelea kula raha
CHADEMA wamekimbilia katika madhabahu ya KKKT kuogopa kivuli cha Magufuli. kila siku utasikia mara Mbowe kasema hili wakati wa Ibada, mara Lowassa kasema lille wakati wa ibada ya kumsimika askofu.Mkuu kama upo wakati wa kutamba kwa CCM ndani ya Vyama vingi ni wakati wa "Hapa Kazi tu!"
NI KWELI KWA SABABU WEWE HUTOKANI NA JAMII ILIOSTAARABIKA NA KIUNGWANA HUWEZI KUJUA WALA KUSIKIA WEWE UMEZOWEA KUSIKIA NA KUFURAHIA KAMA MTU KACHUNWA NGOZI, ALBINO KAKATWA MKONOkatika maisha yangu sijawahi kusikia mtu anaomba kutembelewa hospitalini, hii ni mara yangu ya kwanza.
Nimekubali na ndio nimetoa tano kwenye post inayohusu ziara ya JPM; ila na wewe umewahi kuisoma post yangu haraka harakaBaraghash umewahi tu kupost! Magufuli alikua na ratiba ya kumtembelea mgonjwa! tizama swissme kaleta latest update! Hakuna adui au rafiki wa kudumu ktk siasa! Hao hao watoto wao wakipata/kuolewa wote utawakuta pamoja meza moja! Hao hao wakipatwa msiba hali kadhalika! Hivyo be cool! Siasa is a game
Hakuna maana hiyo na akili yako fupi kama kimba la mwisho.tunachomaanisha ni kwamba kwenye maradhi hakuna haja ya kuendeleza siasa za chuki bali kutembeleana kuonesha umoja na kukomaa kwa democrasia.katika maisha yangu sijawahi kusikia mtu anaomba kutembelewa hospitalini, hii ni mara yangu ya kwanza.
Ndiyo mkuu.majitu kama haya yana roho mbaya hadi kwa majirani na ndugu.umeshindwa kuficha hata maovu yako?NI KWELI KWA SABABU WEWE HUTOKANI NA JAMII ILIOSTAARABIKA NA KIUNGWANA HUWEZI KUJUA WALA KUSIKIA WEWE UMEZOWEA KUSIKIA NA KUFURAHIA KAMA MTU KACHUNWA NGOZI, ALBINO KAKATWA MKONO
Hivi kiswahili lugha yako ya ngapi. Nani mwalimu wako wa kike wa mwisho aliokusomesha.Hakuna maana hiyo na akili yako fupi kama kimba la mwisho.tunachomaanisha ni kwamba kwenye maradhi hakuna haja ya kuendeleza siasa za chuki bali kutembeleana kuonesha umoja na kukomaa kwa democrasia.
magufuli anaenda kumtembelea kwa sababu amesha sema suala la zanzibar halimuhusu, kwa akili ya haraka haraka kuna ambao ndio wamelianzisha, na wanaendelea kulisimamia hao ndio lina wahusu na hao hawathubutu kwenda kumjulia hali Maalimu Seif nao ni JK, na Mkapa.