KASIM MNKONDYA
Member
- Nov 23, 2012
- 20
- 5
Hali ya hewa mbaya kwa chama cha mapinduzi kata ya kigamboni hasa katika mtaa wa ferry hii ni baada ya kutokea mpasuko mkubwa baiana ya wagombea walioshindwa kwa kura ya maoni ndani CCM. upande wa pili wa walioshinda unaongozwa na kuratibiwa na diwani wa kata ya kigamboni cha kushangaza nguvu zote wameelekeza katika mtaa wa ferry chini ya mgombea Juma Mengamno huku akipambana na nguvu ya umma yaani (UKAWA) chini ya mgombea makini bwana Hadelyn anayeonekana kukubaliwa na na rika zote vijana kwa wazee ukawa wameapaa kushinda katika kinyang'anyiro hicho
wenu katika nguvu ya umma
Mr.Hamis Kasim
wenu katika nguvu ya umma
Mr.Hamis Kasim