CCM inagawa ushindi kwa CHADEMA!


mkuu kumbe mnajuana?tupe basi update na maazimio ya kikako cha mwenyekiti na wabunge mbona hatoi covarage za kutosha?
 
mkuu kumbe mnajuana?tupe basi update na maazimio ya kikako cha mwenyekiti na wabunge mbona hatoi covarage za kutosha?
Mkuu maazimio kwenye chama makini hayatolewi wakati wa kikao. Subiri utayapata baada ya vikao kumalizika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…