Mlivyokuwa mnawaga mapesa mlidhani zitawalewesha watu? Hizo zama zilishapitwa na wakati...sasa watu wanapiga mpunga afu unashushiwa nyundo
Kwa hasira ya kukatisha safari yangu ya matumaini sasa nachoma likadi langu la CCM na kuanzia Diwani, Mbunge na Rais nawapa UKAWA jamani wapenzi wenzangu wa Lowasa naombeni mniunge mkono tuishikishe Adabu Ccm kwa faulo waliyomchezea Mzee wetu.