boyayoparuparu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 343
- 82
Sasa ukinunua umeme,unakatwa asilimia tatu, uchangie EWURA, asilimia moja, uchangie REA, inasikitisha sana mteja kuchangia maendeleo ya kampuni ambayo hana hisa,hata angekuwa na hisa ilikuziongeza hisa zake, ingebidi anunue, makampuni haya yanaanzishwa na Serikali ili wananchi tuyahudumie?Tatizo la kutokuwaji wananchi leo hii tunadhulumiwa sana na mitandao ya simu,hamjali na tena mko kimya.
Sasa hii nikutuhakikishia kuwa mnanufaika na dhuluma tunayofanyiwa,ukinunua kifurushi cha muda wa maongezi,toka mambo ya kampeni yameanza,kinakwisha haraka sana,mnanifanya niamini kuwa hayo mapesa mnayoyagawa kwa wingi,yanatoka kwenye unyonyaji huu.
Tena sasa ni nyie CCM mnayoitafuta Ikulu kwa kutumia mapesa mengi sana,kuliko wengine,kisha mnadai kutuletea maendeleo maendeleo gani wakati mnatudhulumu na tunadhulumiwa huku mkiwa kimya?
Kama ni maendeleo kwa kundi lenu tu hayo ninayahisi naendelea kuwatakia anguko kuu.