Ni baada ya kugundua mgombea wao kumbe uwezo wake ni kukumbuka idadi ya kilometa za barabara kwa kichwa tuu na sio zaidi ya hilo.
Sasa wale wa Vijijini ambako hata rangi ya lami hawaijui zile mbwembwe za kilometa mia saba nukta tatu tano point zero five zitasaidia nini?
mbona hueleki ccm imepaniki ccm imepaniki mara itv mm naona wewr umepaniki
JK ameonekana akitokwa povu mithili ya mtu aliyemeza sabuni ya omo.
CCM wanajijua sio watendaji,ni wajanja fulani tena wahuni.
Mambo binafsi ya JK na Lowassa yatamfanya JK atumie mbinu zozote kuhakikisha Ikulu haendi Mpinzani.Ni baada ya kugundua mgombea wao kumbe uwezo wake ni kukumbuka idadi ya kilometa za barabara kwa kichwa tuu na sio zaidi ya hilo.
Sasa wale wa Vijijini ambako hata rangi ya lami hawaijui zile mbwembwe za kilometa mia saba nukta tatu tano point zero five zitasaidia nini?
Ni baada ya kugundua mgombea wao kumbe uwezo wake ni kukumbuka idadi ya kilometa za barabara kwa kichwa tuu na sio zaidi ya hilo.
Sasa wale wa Vijijini ambako hata rangi ya lami hawaijui zile mbwembwe za kilometa mia saba nukta tatu tano point zero five zitasaidia nini?
bila shaka wewe ni mtunza fedha wake mwenye ushahidi huo wa kutoa pesa.Lowasa anatumia pesa zake kutaka kuinunua ikulu na kamwe hatafanikiwa, amenunua watu wa kumpamba kila kona na baadhi ya media lkn niwakumbushe tu ni debe tupu hilo litapiga kelele mitaani, wenzenu wako na mikakati ya kimyakimya. Mbwembwe zilizoishia Dodoma safari hii zinakwenda kumalizikia ufipa
Na hiki ni chama cha wahuni kweli kweli. Wahuni waliojijengea tabia ya kwamba hii nchi ipo kwaajiri yao na familia zao. Mbona hatu jamsikia Obama akisema lazima Mrs Clinton ashinde. Au kwa vile sisi tupo Afrika? Au kwavile tumaskini au kwavile Sisi Watanzania tumeamua Taifa letu litawaliwe kwa mabavu? Kusupport uhuni wa namna hii utatufanya tuendelea kuishi kwenye nyumba za nyasi milele.
Hata wewe mkuu BadoMbali akisikia jina lako atakujibu sio mbali sana ni kilometa kumina nne point saba mbili nukta tano zero. Unacheza na mzee wa kilometa mkuu?sikutaka kulogin humu lakini umenichekesha sana imebidi tu nilogin nikupe like...

Body language ya jk inamajibu ya uchaguzi 2015
Nimeshindwa kuelewa matukio haya matatu, mimi naona maji ya shingo kwa ccm mapema kabisa.
1. Inaonekana kabisa vyombo vya habari vimetishwa kwa kuiangalia ITV tu, wameambiwa watoe priority kwa ccm na ku-ignore za upinzani.
2. Ikiwa mwenyekiti wa ccm anasindikiza kuchukua fomu za mgombea, sijui itakuwaje mpaka october!
3. Suala zima la mgombea wa ccm kutokea kwenye TV akiongelea kuhusu kuipongeza ITV kwa ajili tu eti kipindi kizuri cha barabarani wakati kuna issues nyingi za kitaifa!
Nimehuzunishwa na strategists wa ccm, inaonekana strategists wamepaniki na ccm yote imepaniki.
HAPO NDIO KWANZA SAFARI YA MABADILIKO IMEANZA, NI TSUNAMI KUBWA INAWAKUMBA, WAMEPAGAWA.